Msaada Tafadhali, Hali mbaya-ofisi chungu!

...chapa karatasi kumueleza hayo na aipate pasi na kujua imetoka kwako.
Hii imekaa a bit too coward.
31011.slate.you.stink.large.jpg

Bora ya kumwambia wazi ajue it is serious
Ikiwa hajui nani katuma anaweza kudhani
watu wameanza kuchukia ukaribu wake na boss mpya
Na akaamua kuzidisha ukaribu huo ili kuwakomoa wengine
 
Niliwahi kuisemea kwa ujumla kwenye tool box meetings za kila asubuhi, kama kwa wiki moja mfululuzo nilikuwa nasisitiza usafi wa ofisi, vifaaa mbali mbali na sisi wenyewe na nikafanya mpango ofisi nzima wakapata uniform mpya lakini wapi! Kwa hali inavyokwenda itabida nifaye kitu tu.
Na kwa sasa na huu mwezi kutwa nzima anakuwa kama anaumwa hivi, mnyongeeeeeeeeeeee kila nikifikiria kumwambia namuhurumia kumkata mudi zaidi. Ila hali sio kabisa yaani
 
Mshirikishe staff mwingine uliyemzoea,kama nae pia analifahamu hilo..itasaidia pia kwani anaweza kushauri nini cha kufanya na ukizingatia huenda anamjua mlengwa hulka zake
 
Niliwahi kuisemea kwa ujumla kwenye tool box meetings za kila asubuhi, kama kwa wiki moja mfululuzo nilikuwa nasisitiza usafi wa ofisi, vifaaa mbali mbali na sisi wenyewe na nikafanya mpango ofisi nzima wakapata uniform mpya lakini wapi! Kwa hali inavyokwenda itabida nifaye kitu tu.
Na kwa sasa na huu mwezi kutwa nzima anakuwa kama anaumwa hivi, mnyongeeeeeeeeeeee kila nikifikiria kumwambia namuhurumia kumkata mudi zaidi. Ila hali sio kabisa yaani
Sasa itabidi utumie ushahuri wa Babkey: mtumie barua.
 
Aiseee ngoja nitoke humu labla ajaanza kuchafua mbege yangu;,,,,manake nimeshaanza kusikia harufu chafu kama mbolea ya nguruwe
 
Ee bana ee mkaribishe jf ...fungua forum iache aisome,mtapata pa kuanzia akisoma comments za madokta wa jeiefu
 
Sasa akimkaribisha JF na jamaa aje aone hii thread, vile kuna boss alilalamika kuhusu subordinate (tena na details ya actions zake za mwanzo), si atajua tu kua Sokwe Mjanja ndio boss?
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kabisa mimi ningependa kujua ni aina gani ya BO ambayo jamaa anatoa. Ni kikwapa kikali? Ni kikwapa kilichovunda? Ni harufu ya mdomo? Hiyo harufu inatoka kwenye nguo au kwenye mwili? Au ni combo ya yote hayo?

Pili, haya mambo ya BO ni mambo sensitive sana. Ni sensitive kwa sababu ni risky. Siyo mambo ya kumwambia tu kama vile umwambiapo mtu ambaye hajafunga zipu. Ni lazima uwaze na kuwazua na ufikiri kwa mapana na marefu kabla hujajitosa kumwambia huyo mtu.
 
Natamani ungekuwa ofisin kwetu
ili kukiwa na haja ya kumueleza mtu kitu
'tunakutumia' lol

mkuu hii njia nimekua naitumia ninapokua na jamii imekua inafanikiwa kwa 100%,huwezi amini na kama ni jungu we limwage wote mkiwepo,mambo yanakua shwari kabisa,UKWELI NI UHURU binafs huwa sioni shida ktk hili na huwa sina woga hata kama ni bos namueleza tu maana wote ni binadamu hatuwezi kuwa perfect asilimia zote
 
Ee bana ee mkaribishe jf ...fungua forum iache aisome,mtapata pa kuanzia akisoma comments za madokta wa jeiefu

Lugha mkuu,hajui kiswazi! hapa ofisini wanatumia french na kizungu cha kuunga unga kwa sisi wakuja.
 
mkuu hii njia nimekua naitumia ninapokua na jamii imekua inafanikiwa kwa 100%,huwezi amini na kama ni jungu we limwage wote mkiwepo,mambo yanakua shwari kabisa,UKWELI NI UHURU binafs huwa sioni shida ktk hili na huwa sina woga hata kama ni bos namueleza tu maana wote ni binadamu hatuwezi kuwa perfect asilimia zote

Ni kweli mkuu ila unajua hicho ni kipaji na kipawa, sio kila mtu anaweza. Mimi niko shy kidogo na sipendi kumkata mtu mudi. Nina imagine ingekuwa ni mimi alafuu boss aniambie hivyo naweza omba likizo ya bila malipo kabisaaaaaaaaa
 
Kwanza kabisa mimi ningependa kujua ni aina gani ya BO ambayo jamaa anatoa. Ni kikwapa kikali? Ni kikwapa kilichovunda? Ni harufu ya mdomo? Hiyo harufu inatoka kwenye nguo au kwenye mwili? Au ni combo ya yote hayo?

Pili, haya mambo ya BO ni mambo sensitive sana. Ni sensitive kwa sababu ni risky. Siyo mambo ya kumwambia tu kama vile umwambiapo mtu ambaye hajafunga zipu. Ni lazima uwaze na kuwazua na ufikiri kwa mapana na marefu kabla hujajitosa kumwambia huyo mtu.

Ni combo aisee. Bahati mbaya zaidi jamaa ni mdingi kwa mbali, anatafuta mwaka wa 45 hivi kama sikosei.
 
Kwanza kabisa mimi ningependa kujua ni aina gani ya BO ambayo jamaa anatoa. Ni kikwapa kikali? Ni kikwapa kilichovunda? Ni harufu ya mdomo? Hiyo harufu inatoka kwenye nguo au kwenye mwili? Au ni combo ya yote hayo?

Jibu lakwanza liko hapa:
mwanzoni nilidhani alijisahau akajisaidia ndani ya nguo ila naona ni kila siku na hali inazidi kuwa mbaya.

Pili, haya mambo ya BO ni mambo sensitive sana. Ni sensitive kwa sababu ni risky. Siyo mambo ya kumwambia tu kama vile umwambiapo mtu ambaye hajafunga zipu. Ni lazima uwaze na kuwazua na ufikiri kwa mapana na marefu kabla hujajitosa kumwambia huyo mtu.

Na hapa ndio nilikua nataka nikusome
What about the thread you started few month ago?
hakuna tip nzuri ilitoka huko? Humu kuna vituko jamani
Umeona ushahuri wa wakati ndio sasa? so creative!
 
Last edited by a moderator:
Lugha mkuu,hajui kiswazi! hapa ofisini wanatumia french na kizungu cha kuunga unga kwa sisi wakuja.

Ni mtu wa wapi huyo jamaa?

Mimi nashauri, for starters, kama mna dress code na personal appearance policy, uwasiliane na HR ili wai-revise hiyo policy na kuongeza kipengele cha 'high standards of personal hygiene' na wakiandike kwa maandishi mekundu mazito yaliyokolea (bold print) halafu wasambaze internal memo.
 
Back
Top Bottom