Msaada Tafadhali, Hali mbaya-ofisi chungu!

Ni mtu wa wapi huyo jamaa?

Mimi nashauri, for starters, kama mna dress code na personal appearance policy, uwasiliane na HR ili wai-revise hiyo policy na kuongeza kipengele cha 'high standards of personal hygiene' na wakiandike kwa maandishi mekundu mazito yaliyokolea (bold print) halafu wasambaze internal memo.
Amesha jaribu something similar to hilo:
Niliwahi kuisemea kwa ujumla kwenye tool box meetings za kila asubuhi, kama kwa wiki moja mfululuzo nilikuwa nasisitiza usafi wa ofisi, vifaaa mbali mbali na sisi wenyewe na nikafanya mpango ofisi nzima wakapata uniform mpya lakini wapi! Kwa hali inavyokwenda itabida nifaye kitu tu.
Sokwe Mjanja ila leo ujanja umemwishia
the guy is in deep shit (pun intended)
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu ila unajua hicho ni kipaji na kipawa, sio kila mtu anaweza. Mimi niko shy kidogo na sipendi kumkata mtu mudi. Nina imagine ingekuwa ni mimi alafuu boss aniambie hivyo naweza omba likizo ya bila malipo kabisaaaaaaaaa

kwa jinsi ulivyoeleza wewe kwake ni bos wake,na wanasema ukubwa jalala
kunawatu pia unapomwambia moja kwa moja kitu anafarjika na kujiona wa thamani kuliko kumjadili pembeni,mimi napenda mtu aniambie tatizo langu moja kwa moja
 
Ni mtu wa wapi huyo jamaa?

Mimi nashauri, for starters, kama mna dress code na personal appearance policy, uwasiliane na HR ili wai-revise hiyo policy na kuongeza kipengele cha 'high standards of personal hygiene' na wakiandike kwa maandishi mekundu mazito yaliyokolea (bold print) halafu wasambaze internal memo.

Niliwahi chat na mtu
akaniambia 'mimi nina kinyaa cha Nyani Ngabu ' lol
sipati picha NN ndo ungekuwa unafanya kazi na huyu jamaa LOL
 
there are so many technics of approching,other can take logtime according to the stuation,but other it need man to man soln

Nimeanza kuamini hii solution yako ila kuna shida tatu:
1. It requires from both of them to be believers
2. He will have to lie because there is no Holy Ghost that sent him
3. He will need to use communication skills, but the guy is shy (dixit himself)
 
unajua mkuu kabla ya kumfesi kwanza unamsoma,unajua ni mtu wa aina gani,na huu ndio uongozi.kwanza lazima ujue je ni wote wanasikia harufu hiyo au ni wewe peke yako?kama ni wewe peke yako bas tatizo linaanzia kwako au?na yawezekana hawa wengine walisha zoea harufu ile kiasi kwamba hawaoni kama ni tatizo.kwa hiyo ukifanya reseach hayo yote then unamwambia tu,lakn unakuwa tayari kukabilia na result,anaweza kukuchukia,anaweza kukupenda,anaweza kuomba ushauli kwako pia
 
Niliwahi chat na mtu
akaniambia 'mimi nina kinyaa cha Nyani Ngabu ' lol
sipati picha NN ndo ungekuwa unafanya kazi na huyu jamaa LOL

Ahahahahaaaa eti kinyaa cha NN!

Kusema ukweli mimi I can't stand filth. Na ikija kwenye personal hygiene, hapo ndo standards zangu ziko juu sana.

Huyo jamaa ingekuwa mimi ndo nafanya naye kazi ningemwambia tu. Ningetumia njia ya kidiplomasia na kumwambia (kumuuliza), man to man, 'kaka, hivi unatumiaga deodorant au cologne?'

Akisema hapana basi ningemshauri aanze kutumia ASAP.
 
Nimepatikana si kidogo aisee, jamaa hana hata wasiwasi, kanunua laptop kaomba awe anakaa pembeni yangu nimfundishe autocad software!

unaona eeh,kumbe wewe ndio unanafasi kubwa sana,please nenda umwambi moja kwa moja bila kutafuna maneno tena kwa kuonesha upendo,then uje utupe feedback,msaidie binadamu mwenzetu bwana
 
Nimepatikana si kidogo aisee, jamaa hana hata wasiwasi, kanunua laptop kaomba awe anakaa pembeni yangu nimfundishe autocad software!
Hahahahaha, hapo ni motivation tosha ya kumfundisha ajue haraka.
Pia inawezekana sensitivity yako ikawa juu kuliko wengine hapo kazini.
Halafu unabahati mbaya, unamkumbuka arsene wenger na viatu vyake?
Poleeeeeeeee! hahahahaha
 
Ahahahahaaaa eti kinyaa cha NN!

Kusema ukweli mimi I can't stand filth. Na ikija kwenye personal hygiene, hapo ndo standards zangu ziko juu sana.

Huyo jamaa ingekuwa mimi ndo nafanya naye kazi ningemwambia tu. Ningetumia njia ya kidiplomasia na kumwambia (kumuuliza), man to man, 'kaka, hivi unatumiaga deodorant au cologne?'

Akisema hapana basi ningemshauri aanze kutumia ASAP.
I told him that's the way. Eti anamuonea huruma, hataki kumharibia mood. Being a gentleman requires that one takes a little discomfort to make others feel at ease, ila feeling at ease should not be in a way that wako katika makoza na unawaangalia to for the sake of being a gentleman. Hapo watakua wanaoneana.
Huyo jamaa yuko katika makosa, maybe anajua, mabe hajui. the only way to find out is to tell him.but the guy is shy
 
Mshirikishe staff mwingine uliyemzoea,kama nae pia analifahamu hilo..itasaidia pia kwani anaweza kushauri nini cha kufanya na ukizingatia huenda anamjua mlengwa hulka zake

Mkuu upo live? nilidhani msitu wetu wa mabwepande ushakubeba maana ni mda sijakusikia majukwaani
 
Hili swala niliwahi kukutana nalo nikiwa nafanya kazi hotel flani hivi, dereva wetu alikuwa mzee then hali ya hewa ikawa kama hiyo unayokutana nayo.

kiukweli kwa kuwa nilikuwa na ka-cheo pale, nilijenga mazingira ya kuwa nafanya nae utani. it took me almost a month mpaka tukawa watani. mwishowe nilianza kuwa namletea tuvipodozi tule twa bei rahisi ikiwemo FA deodorant na nikamwambia mzee bila kutumia vitu hivi unaweza ukawakosa wageni wa kizungu maana unaweza one day ukawa driver wa shuttle bus. anza kuvizoea ili chance ikija uwe umeshajiandaa kuwa papaa.

honestly, alikubali na hali ilianza kuchange. later uongozi wa hotel ulianza kuwa unatoa deodorant every month to all staff na bajeti yangu ikaponea hapo ila mzee aliendelea kunukia marashi.

Kwa mfano huu halisi, jaribu na wewe kubuni wa kwako na uvunje ukimya. sema nae
 
Pole Kamanda! Mambo kama haya yanaumizaga sana na ukute sasa jamaa mwenye kakuzi umri hapo ndio kasheshe!
Jikaze na umwambie tu!

Liwalo na liwe! (kauli ya PM wetu)
 
Nilishakutana na situation kama yako, ila kwangu ni kijana nilinaye mzidi umri. Very hard working n intelligent. Yeye nafikiri ufugaji wa ng'ombe ulimuathiri, maana alikuwa ananuka kinyesi na mikojo ya ng'ombe.

Nilimwambia live na kumshauri awe na nguo special atakazovaa akiwa anaattend Banda na ng'ombe na asizihifadhi chumba anacholala. Pia nilimkumbusha matumizi ya deodorant; alikuwa mpole lkn baada ya muda harufu imepungua kidogo.

Nafikiri njia nzuri ni kumwambia tu ana kwa ana. (imenikumbusha cartoon za Tinga tinga, story ya tembo anayenuka, baada ya kuambiwa akaenda kuoga ndipo alipovutwa pua na mamba hadi akapata mkonga)
 
Sokwe Mjanja, kwanza ahsante kwa salaam za Ramadhan, Ni matumaini yangu kuwa wote waliofunga wamefunga kwa dhati na swaum zao makbul. Kila la kheri.

Nakushauri umuite pembeni na umueleze ukweli, usimwaambie mbele za watu. Mwambie una maongezi muhimu na ya siri baina yako na yake tu, akikubali mchukuwe nje ya mazingira ya ofisi (stahamili harufu kwa muda), ukikaa nae sehemu comfortable, u "establish rapport", yaani usianze moja kwa moja, mfanye awe comfortable. Kisha mwambie ukiwa serious, atakuelewa na utapata kusikia tatizo lake kama analijuwa na unaweza mpa ushauri zaidi wa nini cha kufanya.

Ukiwa mkweli utafanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Nilishakutana na situation kama yako, ila kwangu ni kijana nilinaye mzidi umri. Very hard working n intelligent. Yeye nafikiri ufugaji wa ng'ombe ulimuathiri, maana alikuwa ananuka kinyesi na mikojo ya ng'ombe.

Nilimwambia live na kumshauri awe na nguo special atakazovaa akiwa anaattend Banda na ng'ombe na asizihifadhi chumba anacholala. Pia nilimkumbusha matumizi ya deodorant; alikuwa mpole lkn baada ya muda harufu imepungua kidogo.

Nafikiri njia nzuri ni kumwambia tu ana kwa ana. (imenikumbusha cartoon za Tinga tinga, story ya tembo anayenuka, baada ya kuambiwa akaenda kuoga ndipo alipovutwa pua na mamba hadi akapata mkonga)

Imepunguwa au umeizowea, one of the two.
 
Nahisi huyu mtu hana harufu kali ya kukera maana.......
sijui kama huwa inavumilika
Japo najijua nanuka mdomo ila siwezi kuvumilia harufu mbaya na najitahidi nisiwakwaze wengine kwa harufu na huenda hata mpenzi wangu hajui kama nina harufu inatoka mdomoni.
 
Nadhani unaongelea aina fulani ya mtu ambaye "naturally" ananuka, hii sio ishue ya usafi wala kujinyea, nishakumbana na watu wa aina hii.

Tatizo la kuwa hii harufu ni natural ni kwamba yeye mwenyewe hawezi kuisikia, hakuna njia ya kumwambia bila kuleta matatizo baina yenu, hii ndo haswa kazi ya HR, kama HR yenu inasupport kutoa taarifa kwa siri "anonymously" basi fanya hivyo.
 
Back
Top Bottom