Msaada: Stress zimeisha, nataka mtimua nyumbani

Msaada: Stress zimeisha, nataka mtimua nyumbani

Ukweli utakuweka huru... mwambie ulikua unamtumia tu kupunguza stress zako!!
Bila kumwambia aondoke akiendelea kukaa kwako ujue hana kwao
 
HAMYost: 15138727 said:
....Wewe ni JF expert member halafu hujui mada ya aina hii inapaswa kutundikwa wapi? Unawezaje kuweka mada za mahusiano na mapenzi kwenye jukwaa la siasa!?

...Suala la simu...unaweza kuweka 'password' tu na ukazuia mtu kusoma sms zako...Hilo nalo unataka JF ikushauri kufanya?

...Kuna watu vichwa vyenu sijui mnavitumia kufanyia nini!!!
wanakunya akhpjtj
 
you dont know what you need in your life. mtu mwenye sifa zote hizo nzur hiyo minnor yakununa unamuacha halafu baadae ulalamike hamna wanawake wakuoa?? ananuna kwa sababu wew sio mwaminifu hebu basili mtazamo wa maiaha ndugu hamna mwanadamu asiye na kasoro
 
Habari zenu wadau,

Baada ya kuwa na stress zilizotokana na kutemana na binti ambaye nilimpenda kwa kiasi flani hivi, nikaamua kumtafuta huyo binti ili kupunguza stress na binti hiyana analala na kuamka home kwangu, na anafanya kila kitu kama kupika(hapa yupo vizuri sana), kufua na usafi Wa ndani.

Pia huyu binti yupo vizuri kwa umbo, sura na kitandani ndio zaidi na kampita Wa awali kwa kiasi kikubwa.

Tatzo alilonalo ni wivu, ana wivu sana kitu ambacho sipendi awe anasoma text katika simu yangu, nimejarbu kumwambia ila bado ni mbishi. Pia anakawaida ya kukasirika bila ya kuniambia sababu.

Kutokana na sababu hzo naombeni ushauri Wa jinsi ya kumtoa hapa ndani kwangu, kwa sababu napenda kuwa huru katika mambo yangu.
Tuwe tunaangalia na vitu vya kuomba ushauri Jamani
 
watanzania kwa muda mrefu tumekuwa mabingwa wa kulalamika, sasa kidogo kidogo tunaongeza tatizo lingine la kuwa na akili tegemezi! hili nalo GIPU
 
unachekesha wewe.. mbona wakati unamuweka ndani hukutuomba ushauli..?
 
"mwiba hutoka ulipoingilia". ulipomuingiza kwako,mtolee na hapo hapo.
 
JF Senior Expert Member...!!! Aiseee...
 
Habari zenu wadau,

Baada ya kuwa na stress zilizotokana na kutemana na binti ambaye nilimpenda kwa kiasi flani hivi, nikaamua kumtafuta huyo binti ili kupunguza stress na binti hiyana analala na kuamka home kwangu, na anafanya kila kitu kama kupika (hapa yupo vizuri sana), kufua na usafi wa ndani.

Pia huyu binti yupo vizuri kwa umbo, sura na kitandani ndio zaidi na kampita wa awali kwa kiasi kikubwa.

Tatizo alilonalo ni wivu, ana wivu sana kitu ambacho sipendi awe anasoma text katika simu yangu, nimejarbu kumwambia ila bado ni mbishi. Pia anakawaida ya kukasirika bila ya kuniambia sababu.

Kutokana na sababu hizo naombeni ushauri wa jinsi ya kumtoa hapa ndani kwangu, kwa sababu napenda kuwa huru katika mambo yangu.
kila mtu ana mapungufu yake kiongozi, mzuri huku ila sehemu flani tatizo...so jaribu kuhandle weakness usichhoke kumuweka sawa kama unampenda....ukimpata asiye na wivu anaweza kua mbovu mapishi au kitandani au mzembe au chochote...so muambie anakukera apunguze kikubwa yupo insecured anawasiwasi una mcheat ..labda amewahi cheat au anajua wanaume rahisi ku cheat
 
....Wewe ni JF expert member halafu hujui mada ya aina hii inapaswa kutundikwa wapi? Unawezaje kuweka mada za mahusiano na mapenzi kwenye jukwaa la siasa!?

...Suala la simu...unaweza kuweka 'password' tu na ukazuia mtu kusoma sms zako...Hilo nalo unataka JF ikushauri kufanya?

...Kuna watu vichwa vyenu sijui mnavitumia kufanyia nini!!!
kuna watu wana akili za kuvukia barabara tu yan kuangalia kushoto na kulia then anavuka cdhan ata kama una ufahamu wa IQ 2 tu huweza kuja kuomba ushauri eti wa kumtimua m2 nyumbani kwako
 
Angalia sana famicho ,inawezekana hata yy akawa ana panga akukimbie!Hawa viumbe wapo mbele yetu jinsi ya ku exit ktk relationship

Wkt ww ndiyo unapanga ww umtimue kumbe mwenyewe kaisha kutimua moyoni longtime anakaa hapo kwako sababu ya mpunga mnene unao muachia ukiwa unaenda job ehehehe
 
Habari zenu wadau,

Baada ya kuwa na stress zilizotokana na kutemana na binti ambaye nilimpenda kwa kiasi flani hivi, nikaamua kumtafuta huyo binti ili kupunguza stress na binti hiyana analala na kuamka home kwangu, na anafanya kila kitu kama kupika (hapa yupo vizuri sana), kufua na usafi wa ndani.

Pia huyu binti yupo vizuri kwa umbo, sura na kitandani ndio zaidi na kampita wa awali kwa kiasi kikubwa.

Tatizo alilonalo ni wivu, ana wivu sana kitu ambacho sipendi awe anasoma text katika simu yangu, nimejarbu kumwambia ila bado ni mbishi. Pia anakawaida ya kukasirika bila ya kuniambia sababu.

Kutokana na sababu hizo naombeni ushauri wa jinsi ya kumtoa hapa ndani kwangu, kwa sababu napenda kuwa huru katika mambo yangu.
hv account yako imekuwa hacked au ? maana unachoomba ushauri ni cha kitoto sana kulinganisha na level ya account yako mambo hayo wanafaa kwa JF member C JF Expert
 
Khs simu weka password usumbufu na usukunyunyu utaisha

Kuhusu kumtoa Mwambie ukweli tu ndio njia sahihi pia ajue kua wwe umtaki

Pia siku nyingine acha utoto wako fb uko
 
Back
Top Bottom