Msaada: Stress zimeisha, nataka mtimua nyumbani

Msaada: Stress zimeisha, nataka mtimua nyumbani

Khs simu weka password usumbufu na usukunyunyu utaisha



Kuhusu kumtoa Mwambie ukweli tu ndio njia sahihi pia ajue kua wwe umtaki


Pia siku nyingine acha utoto wako fb uko

Nliweka password ila timbwili lake sio dogo
 
Back
Top Bottom