Msaada speaker za home theatre

Msaada speaker za home theatre

Cipher op

Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
76
Reaction score
99
Habari zenu wakuu nahitaji mwenye spika za home theater ambazo ni 5:1.Aje pm tuongee biashara..
Nina kichwa cha panasonic blue ray...watt1000 ila hakina spika zake.
 
Habari zenu wakuu nahitaji mwenye spika za home theater ambazo ni 5:1.Aje pm tuongee biashara..
Nina kichwa cha panasonic blue ray...watt1000 ila hakina spika zake.
I see. Ninazo speaker 6 ambazo deki yake ilikufa. Ni original, kame ni DENVER toka Demark.
 
1000 watt? Mkuu hiyo kichwa niuzie asee!!! [emoji13][emoji13]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom