Msaada: Software - Excel File Repair

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
178
Naomba msaada wana jamii.

Ms Excel file zangu zenye rekodi za biashara kwa miaka 3 iliyopita zime "corrupt" na haziwezi kufunguka. Nimeelezwa nikipata software ya kurepair au recovery basi zitaweza kufunguka. Naomba mwenye software hiyo aweze kunisaidia, leo ni siku ya tatu siweze kufanya kazi kwa kutokuwa na rekodi hizi.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom