Msaada sms kukatika katika tecno n3,,

Msaada sms kukatika katika tecno n3,,

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,319
Reaction score
847
Waungwana mnisaidie nikitumiwa sms znakatika katika ktk page mbili na zaidi kwenye TECNO N3,,,,nifanyeje zije ktk page 1 hata km ni sms ndefu kias gan, ,, msaada plz, , ,
 
Waungwana mnisaidie nikitumiwa sms znakatika katika ktk page mbili na zaidi kwenye TECNO N3,,,,nifanyeje zije ktk page 1 hata km ni sms ndefu kias gan, ,, msaada plz, , ,

Subiri waje ila mie nimeipenda hiyo Avatar yako
 
Kingine ni kutoa mlio unapoizma na kuiwasha,,,,,plz msaaada kwa kweli hapaa,,,,,
 
hakikisha mtandao una nguvu yaani 3G au kama cyo vivyo update hiyo application ya youtube

mkuu mm nna tecno p3 app znajaa kwenye internal memory nimedownload link2sd inazingua nifanyeje kuiroot?
 
Back
Top Bottom