Msaada: Smartphone kuzima screen wakati wa kupiga simu

Msaada: Smartphone kuzima screen wakati wa kupiga simu

NITAFUTE WHATSAPP 0754 60 45 67.hizo simu mafundi hawaijui sensor. Zikoje sasa mara nyingi zina waanguka.nitafute tatizo la simu

Kwani huwezi nielekeza cha kufanya? Maana mimi simu ikiharibika huwa natengeneza mwenyewe. Naweza sema mi mwenyewe ni Fundi lakini simu ninazotengeneza ni zangu na watu wangu wa karibu ikitokea ishu ya matumizi ya Brower ndo inabidi nikadowee kwenye ofisi za watu. Naweza sema sijihusishi na ufundi kwa asilimia 100. Hivyo kama hutojali naomba unielekeze nini cha kufanya.., Pls
 
Juu ya sensor kuna laba inakuwepo inafunika sensor, ukiitoa hiyo laba ndio tatizo la kuzima wakati wa kupiga simu hutokea.
 
Hapo solution nikupeleka kwa fundi afungue halafu an'goe kabisa. Hiyo sensa
 
Back
Top Bottom