msaada sitaki kufa na tai shingoni!

Yaani ujeba huo unashindwa kuanzisha urafiki? Next uhakikishe unakaa karibu na yeye na kutia stori mbili tatu hadi uombwe namba ya simu. Nakushauri uchukuw muda mwingi kumjua na kumzoea kabla haujajilipua
siwezi kujuana ni type yangu mapaka niongee nae ili tufahamiane somehow!
 
swty home swty home i love swahili
 
Hapana, sio! Nyani Ngabu anaosha vyombo mcdonalds, lol. Dereva wa bus bus atakuwa mwana Kiranga

Kudadadeeki leo ilikuwa noma. Niliwekwa front counter tena kwenye cash register na nyomi lilikuwa balaa.

Hapa nilipo choka mbaya ila uzuri supervisor kanipa Angus Deluxe na Double Quarter Pounder with Cheese and ice cold fruit punch to down it with.

Want some?
 
Mbona unakimbia...??/Kwa mfano jana tu nimerudi nyumbani niko mtungi nikalala na tai yangu,nashtuka asubuhi kibibi kinanivua tai na kunipa pole...............

sasa we kumchokoza Kiranga na Nyani Ngabu kwa pamoja!unafikir sipaswi kukimbia mie!
manake huyu akitoa cha kwa malkia yule anatoa cha brooklyn sijui!ah mi staki bana!
 
Last edited by a moderator:
Mara hii una hamu ya mtoto wa pili?

we unafanya mchezo na crush wewe!
acha kabisa!
unaweza kuhis unatembelewa na sisimizi vile kila ukimuona au kumfikiria mhusika!
wacheni tu dada wa watu ajisikie hv!(naamini she is a single mother so why not! mimi49 mamii,endelea kumstudy huyo dreva shem wetu sijui kaka yetu ikiwa ni pamoja na kumfahamu kikawaiada kawaida thn mambo kama poa yatajipa mbele ya safari!IT IS OKEY TO LOVE!
 
Last edited by a moderator:
Chakarika kivyako vyako!!!

[/QUOTE BAK hiz nyimbo hiz sa hz asbh asbh unantakia mema kkweli mimi!
ah!nakasirikaga mimi!majimbo yanavutika sana haya!ah
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Huyo jamaa ni raia wa congo,na ungemsikiliza vizuri kiswahili chake ni cha kikongo,sema amehamia hapo unapopasema kama miaka 8 iliyopita,namfahamu vizuri, ila ni mume wa mtu kwa hiyo kama ndio madili yako endelea kwa wakati wako ila kama ni mtu unayeheshimu ndoa za watu achana nae.
 
Hahahaha. Front counter ujidai? Siku hizi huna zamu za kudeki usiku eh?
Thanks but no thanks. Im on diet, kiwalo cha pasaka kinakaba sana padri anaweza kunitimua. Lol
 
Hahaha atakomaje? Hapo umepanda bus umejichokea unawaza overtime hazitoshi hujui unatoka vipi mwisho wa mwezi. Afu kiranga anakushushia yale malugha yake na kusema hakuna Mungu. Lazma uombe poo!
Na hivi anajua malugha mengi. Ila mwangalie asije akawa Ighondu.
 
Morning glory inahusika. Na hivi leo hakuna kazi. Hii long weekend lile agizo la kuijaza sunia linahusika nadhani. [/QUOTE BAK hiz nyimbo hiz sa hz asbh asbh unantakia mema kkweli mimi!
ah!nakasirikaga mimi!majimbo yanavutika sana haya!ah[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Mi hao hata siwaogopi. Wakileta za kuleta naongea kichina. Kama wanakijua naongea kimatumbi. Dawa ya jeuri ni uhuni!
sasa we kumchokoza Kiranga na Nyani Ngabu kwa pamoja!unafikir sipaswi kukimbia mie!
manake huyu akitoa cha kwa malkia yule anatoa cha brooklyn sijui!ah mi staki bana!
 
Last edited by a moderator:
pole zako kazi unayo bishosti..
 
Mi hao hata siwaogopi. Wakileta za kuleta naongea kichina. Kama wanakijua naongea kimatumbi. Dawa ya jeuri ni uhuni!

ahahahahhha AMINIAAAA!
ila nimekumisimo shosti lol!
njoo nikunong'oneze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…