msaada sitaki kufa na tai shingoni!

msaada sitaki kufa na tai shingoni!

Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
9,296
Reaction score
7,688
Siku kadhaa zilizopita nimepanda basi nikakutana na kijana moja ambae ndo alikuwa dereva, akatabasamu nikahisi kama alitaka kusema kitu akashindwa.

Ila the way he looked at me felt like almost he knew me or he knew something about me and i didn't know him, sikujua kama anaongea kiswahili.

Mimi nilikuwa na mwanangu nikamsemesha nikamwambia abonyeze stop, mtoto akafanya hivo basi to my surprise yule mwanaume akaanza kuongea kiswahili usisahau nipo ughaibuni..Since then sikuweza kumtoa kichwani its like i have a crush on him na hata simjui.

Siku nyingine nikakutana nae tena, akanisalimia habari nikamjibu lkn sikuweza kusema chochote zaidi ya kwenda kukaa kwenye siti yangu, well kilichotokea ni kukosea kuendesha bus kwenye route alokuwa akitakiwa aendeshe ikabidi aambiwe mbona unakoenda siko akasema samahani nimesahau.

Akazungumza lugha moja ya kigeni ambayo sio ya nchi hii nilokuwepo na ofcoz sijawahi kumuona hapa before nahisi ni mgeni, sijui hata nimuapproach vipi coz nikimuona napata ganzi..na kila nikikutana nae ni kwenye basi sipati nafasi ya kuongea nae, in 27 years of my life this is the second time i feel this way.

PLEASE HELP SITAKI KUFA NA TAI SHINGONI
biggrin.png
.
 
Siku kadhaa zilizopita nimepanda basi nikakutana na kijana moja ambae ndo alikuwa dereva...akatabasamu nikahisi kama alitaka kusema kitu akashindwa..ila the way he looked at me felt like almost he knew me or he knew something about me and i didn't know him...sikujua kama anaongea kiswahili...mm nilikuwa na mwanangu nikamsemesha nikamwambia abonyeze stop..mtoto akafanya hivo basi to my surprise yule mwanaume akaanza kuongea kiswahili usisahau nipo ughaibuni..Since then sikuweza kumtoa kichwani its like i have a crush on him na hata simjui...
Siku nyingine nikakutana nae tena..akanisalimia habari nikamjibu lkn sikuweza kusema chochote zaidi ya kwenda kukaa kwenye siti yangu..well wat happened is tht alikosea kuendesha buss kwenye route alokuwa akitakiwa aendeshe ikabidi aambiwe mbona unakoenda siko akasema samahani nimesahau..akazungumza lugha moja ya kigeni ambayo sio ya nchi hii nilokuwepo...na ofcoz sijawahi kumuona hapa before nahisi ni mgeni...sijui hata nimuapproach vipi coz nikimuona napata ganzi..na kila nikikutana nae ni kwenye basi sipati nafasi ya kuongea nae..in 27 years of my life this is the second time i feel this way..PLEASE HELP SITAKI KUFA NA TAI SHINGONI!!:biggrin:
Dah!! Ngojea wanakuja wenyewe,,lakini si ungejaribu kumuuliza anatokea upande gani wa Africa Mashariki?
 
Siku kadhaa zilizopita nimepanda basi nikakutana na kijana moja ambae ndo alikuwa dereva...akatabasamu nikahisi kama alitaka kusema kitu akashindwa..ila the way he looked at me felt like almost he knew me or he knew something about me and i didn't know him...sikujua kama anaongea kiswahili...mm nilikuwa na mwanangu nikamsemesha nikamwambia abonyeze stop..mtoto akafanya hivo basi to my surprise yule mwanaume akaanza kuongea kiswahili usisahau nipo ughaibuni..Since then sikuweza kumtoa kichwani its like i have a crush on him na hata simjui...Siku nyingine nikakutana nae tena..akanisalimia habari nikamjibu lkn sikuweza kusema chochote zaidi ya kwenda kukaa kwenye siti yangu..well wat happened is tht alikosea kuendesha buss kwenye route alokuwa akitakiwa aendeshe ikabidi aambiwe mbona unakoenda siko akasema samahani nimesahau..akazungumza lugha moja ya kigeni ambayo sio ya nchi hii nilokuwepo...na ofcoz sijawahi kumuona hapa before nahisi ni mgeni...sijui hata nimuapproach vipi coz nikimuona napata ganzi..na kila nikikutana nae ni kwenye basi sipati nafasi ya kuongea nae..in 27 years of my life this is the second time i feel this way..PLEASE HELP SITAKI KUFA NA TAI SHINGONI!!:biggrin:
ww ndo umempenda sana huwez kujua yeye, bt take care wa design yenu huwa wanajilengesha ivo ili asife na tai shingon anagegedwa na kufa na kamba shingoni.
 
Kama hauko commited kwa mwanaume mwingine yoyote (pamoja na huyo uliyezaa nae mtoto), basi usiumie we jaribu kupata mawasiliano yake then ndio mpange mtaonana vipi mfahamiane zaidi na kuwa marafiki. Ukishaongea nae ndio utajua kama yuko single au vipi, tabia zake n.k na pia utajua kama nae anavutiwa na wewe au la. Cha msingi usionane nae tu hapo hapo na kuanza kumwambia nimekupenda! kha, utashushuka ukiambiwa ameoa na wala havutiwi na wewe, subiri uone reaction yake kwako, kama haonyeshi kuvutiwa nawe achana nae na ujitahidi kulikwepa hilo basi usipande, vinginevyo utaumia moyo bure. Kila la heri
 
ufuate moyo wako ikiwa haujapata mwenzake, kama tayari una mwenzake ukemee.
 
Business card... kama hauna, andika hata namba kwenye kikaratasi. Siku ukipanda hilo basi wakati wa kushuka ongea sentensi moja tu... ..."Brother naona kama we ni mwenyeji huku, kuna mambo nilitaka nikuulizie maana mi ni mgeni kidogo.. kama ukiwa na mda naomba inipigie tafadhali, namba yangu hii hapa"... Then unashuka kabla hajakujibu. Akija kukupigia swali la kwanza muulize ..."Umeoa"? Yanayofuata changanya na zako...
 
usiwe na haraka usije ukajutia maamuzi dadaangu.....msome kwanza anakufaa??
take time kumfahamu kiundani ukiona he is good na uko okey kuwa naye then funguka...pia ufahamu kama na yeye anafeel the same.
tumia akili zaid kuliko moyo ndo itakuwa njia nzuri ya kumfahamu.
 
Mbona rahisi tu dadangu?Kama upo ughaibuni na watu hawajui kiswahili,ukipanda basi lake we ongea tu Kwa kiswahili nae atashtuka Kama ulivyoshtuka wewe ulipomsikia akiongea,then muombe namba ya simu!
Daah!ila kupenda bhana!!!?ni utata mtupu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Siku kadhaa zilizopita nimepanda basi nikakutana na kijana moja ambae ndo alikuwa dereva...akatabasamu nikahisi kama alitaka kusema kitu akashindwa..ila the way he looked at me felt like almost he knew me or he knew something about me and i didn't know him...sikujua kama anaongea kiswahili...mm nilikuwa na mwanangu nikamsemesha nikamwambia abonyeze stop..mtoto akafanya hivo basi to my surprise yule mwanaume akaanza kuongea kiswahili usisahau nipo ughaibuni..Since then sikuweza kumtoa kichwani its like i have a crush on him na hata simjui...
Siku nyingine nikakutana nae tena..akanisalimia habari nikamjibu lkn sikuweza kusema chochote zaidi ya kwenda kukaa kwenye siti yangu..well wat happened is tht alikosea kuendesha buss kwenye route alokuwa akitakiwa aendeshe ikabidi aambiwe mbona unakoenda siko akasema samahani nimesahau..akazungumza lugha moja ya kigeni ambayo sio ya nchi hii nilokuwepo...na ofcoz sijawahi kumuona hapa before nahisi ni mgeni...sijui hata nimuapproach vipi coz nikimuona napata ganzi..na kila nikikutana nae ni kwenye basi sipati nafasi ya kuongea nae..in 27 years of my life this is the second time i feel this way..PLEASE HELP SITAKI KUFA NA TAI SHINGONI!!:biggrin:

Hii ni kawaida sana especially kama umeshawahi ishi au unaishi ughaibuni maana ukisikia mtu anaongea kiswahili tu inakua balaa yani unahisi. kama vile mtu kakukumbusha bongo..daah cku moja tulikutna maza flani hivi Mc Donalds ya Earl's court tulikua tunabonga kiswahili daaah mmaza akawa anafagia karibu karibu huku anatusikiliza kugusia ilala tu daaaah maza akaanza kutuongelesha nin ikawa fresh kumbe nae amekaa pande za ilala nin n nin ilikua fresh kama nin yan...
 
Mbona rahisi tu dadangu?Kama upo ughaibuni na watu hawajui kiswahili,ukipanda basi lake we ongea tu Kwa kiswahili nae atashtuka Kama ulivyoshtuka wewe ulipomsikia akiongea,then muombe namba ya simu!Daah!ila kupenda bhana!!!?ni utata mtupu. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mbona alinisalimia mara ya pili mm ndo nikapata ganzi!
 
vunja ukimya bi dada,sema nae
maisha yenyewe mafupi ya nini kujitesa!
 
Jaribu kujiuliza ni type yako,if ok,then jenga tabia ya kumsalimia kwa kiswahili,alafu mwambie unatokea eneo gani east africa.akijibu jua lakufuata hapo ni kumuomba number ya simu.
 
siwezi kujuana ni type yangu mapaka niongee nae ili tufahamiane somehow!
 
ila ughaibuni yani ukikutana na mwezio mnaongea kiswahili ni rahajee?nakumbuka nilikua korea mji huo aseee sikuona mswahili ata mmoja,yani ni kama nilikua naishi sayari ya jupiter huo upweke wakorea wanakushangaa kila ukipita kwa vidole tu tabu tupu,sikumoja nimerudi hotel nkaenda piga simu apo hotel kuongea na home japo nitoe upweke kiswahili changu cha bom-bom pale sasa akaja mweusi mmoja ndo mara ya kwaza kuona mweusi apo nae kaja kupiga simu aliposikia naongea kiswahili weeeee mbona home maoungezi yaliisha
kuna kitu ivi kinawafanya muwe connected hatari...tulikesha tunaongea na kufahamia since tht day
 
Back
Top Bottom