Msaada: Sipendi kushauriwa na mwanamke

Uko sahihi Mimi hata ushauri wa wanaume siutakagi.
 
usijipe presha, hiyo ni dalili ya kupenda wenzako wa jinsia moja. Isikuumize sana kichwa, we achana tu na wanawake uwe unatoka na wanaume wenzako utawasujudu kinoma.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] tuheshimiane mkuu
 
Pole ila ilo ni tatizo walilonalo wanaume wengi japo hawatakubali,ila kwakua unejitambua Mungu akufanyie wepesi uwe sawa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…