Habari zenu wana Jf I hope eid yenu imeenda poa
Mimi Nina tatizo moja yaani siwezi kushauriwa kitu na mwanamke ata kama nimekosea nakua too harsh naona kama kanidharau
Yaani inshort Mimi mwanamke hawezi mishauri kitu nikamskiliza ata akinambia tuu jambo namkubalia Ila sitekelezi na sio kama siwapendi ni hali ambayo inatokega automatically
Wakuu hii hali imenisababisha nishindwe kabisa kudumu kwenye mahusiano hii hali sipendi naomba msaada niweze kuwacha na niache kudharau wanawake jamani naichukia hii hali.