multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 584
Mi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahisi nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijaoa.
Nifanyeje? mimba nne zimetoka sielewi au nimelogwa.
NIMEFANYIZIWA MWANAMKE MIMBA ZOTE ZINATOKA.
USHAURI WAKO.
Mi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahisi nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijaoa. Nifanyeje?
Mimba nne zimetoka sielewi au nimelogwa.
USHAURI WAKO.
acha ungese, mpeleke mkeo kwa wataalam wa akona mama.
Kama uko Dar, Prof Mgaya yupo muhimbili.
Kwa ruhusa yako, miss neddy apate uanachama wa kudumu. Amefanya vizuri kwenye kipindi cha majaribio.
umewahi kwenda hospital kucheki hilo tatizo lako mkuu au umewaza mambo ya kufanyiziwa tu
haHhhaha hajui ya yule mja mwepesi uliempa lifti yanakutosha lol