Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,788
- 51,554
Jirani story yangu alishanisaidia Detective J kipindi cha nyuma kidogo.mchango wake bado unaendelea kunivusha
Jirani story yangu alishanisaidia Detective J kipindi cha nyuma kidogo.mchango wake bado unaendelea kunivusha
hakuna binadamu asiyependa hajapatikana mtu ambaye unampenda siku akipatikana utashangaa tena utapenda hadi kupindukia..but here are some ripsHabari zenu,
Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful
Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.
View attachment 1536628
Kulikoni jirani nani alikuvunja moyo.. Ila jirani haya maisha ni marihisi sana ukiwa busy na mambo yako hakuna atakae kuumiza, atakas kuja kwako atakua kaletwa na Mungu simpleJirani story yangu alishanisaidia Detective J kipindi cha nyuma kidogo.mchango wake bado unaendelea kunivusha
Kuna mtu aliniwasha tukio heavy sana jirani yangu we acha tu.😅😅5 yrz si mchezo.Kulikoni jirani nani alikuvunja moyo.. Ila jirani haya maisha ni marihisi sana ukiwa busy na mambo yako hakuna atakae kuumiza, atakas kuja kwako atakua kaletwa na Mungu simple
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi basi cha msingi ni uhai jiraniKuna mtu aliniwasha tukio heavy sana jirani yangu we acha tu.[emoji28][emoji28]5 yrz si mchezo.
[emoji22][emoji22][emoji22]jirani mambo ni mengi
Kabisa jirani yangu
Kwa ulipo sijui kama ofisi za Kata zinadeal na migogoro ya ndoa. Ila kwa Igawa (Mbeya) ndiyo ilikua hivyo mimi nilikua nahudhuria hizo kesi mara nyingi.Kuwaona wanaoishi ivyo...
Nikusaidie Dawa... ASAPHabari zenu,
Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful
Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.
View attachment 1536628
Unahitaji spiritual counseling..na pia usiwazie sana juu ya hiyo hali, itazidi kukuchanganya, jipe furaha tulia kaa kidogo single kwa muda fulani hivi mpaka utakapo ona upo tayari kuanzisha mahusiano.Nlikuw busy na mambo yangu nkayapa mapenz kisogo kwa mda wa miezi 7 lakin nkaja kukutana na mtu masiku si mengi lakin nmeshamwacha sababu n zle zle