Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,427
- 191,704
But why mtt mzuri 😆[emoji1787][emoji1787][emoji1787] I don't trust you
But why mtt mzuri 😆[emoji1787][emoji1787][emoji1787] I don't trust you
Ndio uko sahihi kabisa.Kama uliwah kutendwa hio ipo
Kama haijawah Basi jua Kuna pepo linakuendesha
Na rahisi kupata maginjwa pia
Kwa sababu huaminiki [emoji1787][emoji1787]But why mtt mzuri [emoji38]
Karibu sana nduguNilikuwa nakuwaza sana mkuu nilipousoma huu Uzi
Comment yako mpka leo ina nisaidia.asante mno na uendelee kubarikiwa
Wewe upo hai mbona, usimtishe eti,Shukuru Mungu, kuna wenzio wanakufa kisa mapenzi
Huatakiwi kujiuliza kama huyo mtu unampenda au lahasha, unachotakiwa kufanya ni kuanza utaratibu wa kujifunza kuanza kumpenda, mapenzi ni mind set tu, badilisha mtazamo, na utaanza kumpenda tu, na utafurahia mapenziHabari zenu,
Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful
Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.
View attachment 1536628
Unachotakiwa kujifunza ni usianzishe mahusiano ukiwa desperate, anza taratibu na vuta subira, fanya mambo yako mengine mapenzi yatakuja tu mbele ya safari, jifunze kuona kila kitu kipo sawa, ukiwa busy na mambo mengine basi utapata mtu sahihiHabari zenu,
Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful
Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.
View attachment 1536628
Bangi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lazma utafte tiba, mie napendekeza dawa za kisuni...there are easy to use! Kuna kipindi nyumba ilikuwa haikaliki nikaanza kutumia ndani ya mda mchache mambo yakatulia kabisa.
Asante sana🧚♀️🥂🥂Karibu sana ndugu
Unatakiwa uwe na timu ambayo itakua inakuombea sio jambo baya hata kwenye maandiko ipo hiyo, ingawa na wewe usiache kujiombeaKuombewa? Hivi mtu huwezi kujiombea ukafanikisha?
Jamaa umempa nini [emoji1787][emoji1787]Nilifanikiwa kumpata nimpendae naye ananipenda kufaa
Hiyo ndo ilikuwa pona yangu
So namuelewa mleta uzi
Kuna kitu alishawahi kupitia kikaujeruhi moyo wakeUsha wahi pitia historia mbaya kwenye mahusiano huko nyuma? Au familia yako ilikua kwenye hali gani (mahusiano ya baba na mama)
Tuanzie hapo kwanza!
👌👌👌Unachotakiwa kujifunza ni uaianzishe mahusiano ukiwa desperate, anza taratibu na vuta subira, fanya mambo yako mengine mapenzi yatakuja tu mbele ya safari, jifunze kuona kila kitu kipo sawa, ukiwa busy na mambo mengine basi utapata mtu sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia hakika una spiritual husband haipingiki matendo yako, haya mapepo hayataki upate mume uishi nae, spiritual husbanda wanatibua sana ndoa nyingi, ndoa nyingi zimeangamia kwasababu ya haya mapepo,Habari zenu,
Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful
Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.
View attachment 1536628
Ohooo...asanteMchanganyiko flani wa miti dawa