Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Kwann comment ya kwaanza huwa konki sanaShukuru Mungu, kuna wenzio wanakufa kisa mapenzi
Kwann comment ya kwaanza huwa konki sanaShukuru Mungu, kuna wenzio wanakufa kisa mapenzi
Habari zenu,
Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful
Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.
View attachment 1536628
dadeki[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shukuru Mungu, kuna wenzio wanakufa kisa mapenzi
Nenda kafanyiwe maombi kadiri ya Imani yako.Sio utan ndyo maana npo hapa naomba ushauri wenu
Ushauri mzuri kabisa.Labda una 'issue' za kiroho mfano kuwa na jini mahaba
Tafuta maombezi kwa imani yako ufunguliwe
ikishindikana basi labda jaribu kumuona mtaalamu wa saikolojia
Kuna mtu bado hujamsamehe na kumsahau katika maisha yako na bahati mbaya kila unayempata hamfikii yule ambaye hujamsahau hata nusu, tumia akili achana na hisiaHabari zenu,
Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful
Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.
View attachment 1536628
kweli hapa hachomoki,Saikolojia ya mtoa mada ni hii
1.upo kwenye jamii inayokandamiza wanawake..so hupend wanaume
2.umelelewa na singo mama ambae aliteswa sana na wanaume
3.ushawai tendwa
4.uwezekano wa kuwa mtoto wa kambo ni mkubwa mno
5.mzazi wako m1 alikulisha sumu kuhusu ukatil wa wanaume so automatikal hupend wanaume
6.una bahat mbaya ya Kutokunwa vzur na wanaume uliokutana nao
7.uliolewa mapema snaa siajabu mfumo dume ukikufosi uolewe mapema
Huchomok humu......kama zote hiz sio sabab bas utakua una tatzo la kiafya ya akil...sjasema chiz .hapana
Vibenten tupa kuleeHata Shilole alisema hivyo hivyo
Unaweza kuona nipo hai kumbe nimekufa
Hii ndiyo mada hapa. Asante sana.Kuzaa tu bila ndoa hapana nataman kupenda
Ndio maana yake