Msaada: Sina moyo wa kupenda, nifanye nini?

Msaada: Sina moyo wa kupenda, nifanye nini?

Habari zenu,

Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful

Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.

View attachment 1536628
Hiyo Ndio True definition ya qualified KAHABA kama
ulikua hujui, now u know!
 
Hata Mimi nipo hivyo hivyo nampenda demu siku mbili baada ya hapo staki hata kumuona...
Hebu tujaribu kupendana mi na ww tuone itakuaje
 
We ni adi uonje ka utamu ka kuachwa .ulie lie kwanza ,ukonde kidogo then uta rudi hapa
 
  • Kicheko
Reactions: Cyb
Habari zenu,

Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful

Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.

View attachment 1536628
Shida kiuwezo cha familia kinakuchanganya, jifunze kutenganisha maisha halisi na Mali za familia. Usidhani kila mwanaume anayekutaka anataka Mali za familia yenu..

Wazazi wako walikuzaa kwasababu walikubaliana kujishusha na kuacha PRIDE ndani ya mioyo yao. IPO siku watakufa watakuacha peke yako duniani na ndipo utakapoona kumbe Mali hazina thamani. Familia (mahusiano mazuri ) kwanza, then Mali.

THINK
 
Back
Top Bottom