Msaada: Sina moyo wa kupenda, nifanye nini?

Msaada: Sina moyo wa kupenda, nifanye nini?

Habari zenu,

Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful

Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.

View attachment 1536628
Ni jambo la kawaida. Ridhika na hali yako. Yote heri
 
Kama vipi tafuta tango mufanye mume utapenda sana ila mimi najua ni dhambi
 
Uliwai kuwa mdangaji?au ukiwa peke yako kuna wakati unatamani kuwa mdangaji ebu kuwa mkweli nijue nakusaidia vpi kiushauli
 
Shida sio kumpenda mtu shida jinkwamba hujipemdi wewe kwahiyo huwezi kumpenda mtu.


Sio kosa lako huwezi kutoa kitu ambacho huna...

Hili umpe mtu japo 1000 ni lazima wewe walau uwe na 5000 sasa kama hiyo 5000 huna utampaje mtu buku.

Upendo nao upo hivyo ukiona mtu anampenda mtu anamsapoti full ni kwasababu upendo umejaa ndani yake otherwise huwezi kumpenda mtu kama wewe mwenyew hujipendi.

Hii sio kwenye mapenzi tu hata kwenye kusamehe watu ambao wagumu kusamehe uwaga na wao wana matukio walishawahi kufanya mpaka leo hawajawahi kujisamehe

Embu anza kujipenda/kujijali uone rahisi itakavyokuwa kumjali/kumpenda mwingine...
 
Open relationship ni ukahaba ama umalaya katika lugha nyoofu!

Ukiwa katika open relationship unaruhsiwa kufany multiple dating(entaglements)...Hamna mtu timamu atakubali hili! Labda uwe single kisha upokee kila ombi.
Open relationship ipoje?
 
Back
Top Bottom