Msaada: Sina moyo wa kupenda, nifanye nini?

Naushin

New Member
Mar 17, 2020
0
187
Habari zenu,

Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful

Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.

FB_IMG_1597092679000.jpeg
 
View attachment 1536628
Pole dada. Unatatizo la emmotional numbness. Hii inatokana labda hapo nyuma ulitendewa kitendo kibaya kimeathiri hisia zako mpaka leo.
Hii issue ukiiacha.. hata ufike miaka 40.. hutoweza kukaa na mtu
 
Kuna watu watahisi unadanganya au pengine ni utani

Hiyo hali ipo sna..nilikuwa kwenye hiyo hali kwa muda wa miaka miaka kadhaaa niliumizwa mno.

Jipe muda kwanza utakuja kupata mtu sahihi.ukiforce utakuwa unatafunwa na kila mtu kwa kuwa moyo wako unakinai mapema
 
Nilikuwa nakuwaza sana mkuu nilipousoma huu Uzi

Comment yako mpka leo ina nisaidia.asante mno na uendelee kubarikiwa
 
Habari zenu,

Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful

Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.

View attachment 1536628
Pole Naushin
 
Kuna watu watahisi unadanganya au pengine ni utani

Hiyo hali ipo sna..nilikuwa kwenye hiyo hali kwa muda wa miaka miaka kadhaaa niliumizwa mno.

Jipe muda kwanza utakuja kupata mtu sahihi.ukiforce utakuwa unatafunwa na kila mtu kwa kuwa moyo wako unakinai mapema

Aisee pole sana Kwahiyo hali hiyo kwa sasa haunayo?
 
Back
Top Bottom