Msaada: Sina moyo wa kupenda, nifanye nini?

Msaada: Sina moyo wa kupenda, nifanye nini?

Unaulizia vumbi stoo?

Hii ndio aina ya mahusiano mengi ya wabongo wawe singles au wanandoa ila wana michepuko nje japo officially wanajifanyaga wako katika closed relationships (serious/single patner).
Sasa mbona wanifokea😔

Nimeelewa..sikujuaga hilo.. ahsante
 
Lazma utafte tiba, mie napendekeza dawa za kisuni...there are easy to use! Kuna kipindi nyumba ilikuwa haikaliki nikaanza kutumia ndani ya mda mchache mambo yakatulia kabisa.
😂😂😂😂
Nawewe ulikuwa na jini mahaba?
 
Habari zenu,

Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful

Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.

View attachment 1536628
Tiba hapo ni kumpenda tu hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu,

Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful

Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.

View attachment 1536628
Rudi shule maana bado wewe ni mtoto achana na Mapenzi
 
Open relationship ni ukahaba ama umalaya katika lugha nyoofu!

Ukiwa katika open relationship unaruhsiwa kufany multiple dating(entaglements)...Hamna mtu timamu atakubali hili! Labda uwe single kisha upokee kila ombi.
Wacha wee
 
Back
Top Bottom