Msaada: Sina moyo wa kupenda, nifanye nini?

Nahisi kuna kitu au jambo hujasema, Kila kitu Huwa kina Source, na Sababu pia, then tatizo/Changamoto.....

Wewe unatueleza kuhusu Tatizo/Changamoto.....
Tueleze Source ya Tatizo lako, tutajua Sababu tutakushauri hatua za kuchukua, ama Tueleze sababu, then sisi tutatafuta Chanzo na kukupa Ushauri wa kutatua tatizo...
 
Amesema wa kimapenzi
Sikuiona hiyo.

Ameachika akiwa 24.

Na sababu ni hiyo.

Kabla ya ndoa kuna uhusiano kisha uchumba. Tufanye uhusiano na uchumba wametumia miezi 5.

Kisha ndoa ikaja. Amesema wameachana kisa hichi hichi.

Tuassume ndoa yao haikua na migogoro na ugomvi.

Mi nafikiri ndoa yao ilifikia sex rut mapema as wakati wanaoana walikua excited na uhusiano na wakafikiri itakua same route.

So bado atakua na lile wenge la sex rut na alivyoichoka ndoa mapema.

Conclusion: Anajua uhusiano mwisho wake ni ndoa, kila akiwaza hivyo anakumbuka yaliyotokoea kisha anakinai uhusiano.

Anahitaji spark mpya ili kuexperience same excitement aliyokua nayo kabla ya ndoa.

Aishi free life au atafute open relationship.

Atafute mtu atakayempa emotional support.

Also I think she is a lesbian.
 
Kama una mahusiano mazuri na rafiki na ndugu wa kawaida ila kwenye mahusiano ya kimapenzi ndipo unafail, basi uko kundi la watu wanaojullikana kama aromantics. Huhitaji kuforce mahusiano ni kwamba hujapata mtu sahihi na wala kuwa aromantic hakumaanishi una kasoro.
 
Hiyo spiritual husband inakuwaje
Huyo ukiwa naye anaweza kukusababishia mambo mengi sana kadiri anavyotaka yeye,anaweza kukufanya uwachukie wanaume,anaweza kusababisha ndoa yako isiwe na Amani kabisa,anaweza kukusababishia ndoa kuvunjika,anaweza kukusababishia usikae na wanaume,anaweza kukuharibia elimu yako yaani anaweza asitake usome akakuletea vitu kama magonjwa,kupoteza kumbukumbu au kuchukiwa na walimu, anaweza hata kukufungia bahati zako n.k....
 
Sikuiona hiyo.

Ameachika akiwa 24.

Na sababu ni hiyo.

Kabla ya ndoa kuna uhusiano kisha uchumba. Tufanye uhusiano na uchumba wametumia miezi 5.

Kisha ndoa ikaja. Amesema wameachana kisa hichi hichi.

Tuassume ndoa yao haikua na migogoro na ugomvi.

Mi nafikiri ndoa yao ilifikia sex rut mapema as wakati wanaoana walikua excited na uhusiano na wakafikiri itakua same route.

So bado atakua na lile wenge la sex rut na alivyoichoka ndoa mapema.

Conclusion: Anajua uhusiano mwisho wake ni ndoa, kila akiwaza hivyo anakumbuka yaliyotokoea kisha anakinai uhusiano.

Anahitaji spark mpya ili kuexperience same excitement aliyokua nayo kabla ya ndoa.

Aishi free life au atafute open relationship.

Atafute mtu atakayempa emotional support.

Also I think she is a lesbian.
Open relationship ipoje?
 
Habari zenu,

Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful

Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.

View attachment 1536628
Unahitaji maombi kuna pepo mchafu amekukamata sasa mchungaji sahihi ni pastor katunzi wa eagt city center njia ya mbagala maombi ni bure kbsa wewe tu kwenda kanisani kuna mdada nilimpeleka tatzo hilo hilo saiz ana mume...baada ya maombi..
 
Katunzi wa hapo mtoni karibu na relini?
 
Huyo ukiwa naye anaweza kukusababishia mambo mengi sana kadiri anavyotaka yeye,anaweza kukufanya uwachukie wanaume,anaweza kusababisha ndoa yako isiwe na Amani kabisa,anaweza kukusababishia ndoa kuvunjika,anaweza kukusababishia usikae na wanaume,anaweza kukuharibia elimu yako yaani anaweza asitake usome akakuletea vitu kama magonjwa,kupoteza kumbukumbu au kuchukiwa na walimu, anaweza hata kukufungia bahati zako n.k....
Mmmh mbona hataree

Kwahiyo mtu ufanyeje sasa kujinasua?
 
Personally nimekuelewa sanaa kwa unachokiongea ila sina namna ya kukusaidia wala sifahamu njia bora ambazo zinaweza kukusaidia.
Anyway polee sanaa but jaribu kujipa muda nje ya mahusino kwa muda hata wa mwaka

Back
Top Bottom