Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,788
- 51,554
Inakuja inakata ila kwa kiwango inaanza kupunguaAisee pole sana Kwahiyo hali hiyo kwa sasa haunayo?
Inakuja inakata ila kwa kiwango inaanza kupunguaAisee pole sana Kwahiyo hali hiyo kwa sasa haunayo?
🤣🤣🤣JehovahKwani uliambiwa kupenda lazima ?
Habith al Hamal
Pengin una shida ya kiroho, jaribu kusali au kutafuta usaidizi wa kiroho hiyo sio hali ya kawaidaHabari zenu,
Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful
Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.
View attachment 1536628
Amesema wa kimapenziMoyo wa kupenda kimapenzi au kupenda kwa ujumla wake? Kwamba hata marafiki au ndugu hauwapendi pia?
He he he [emoji16]Shukuru Mungu, kuna wenzio wanakufa kisa mapenzi
Hiyo spiritual husband inakuwajeAngalia isije kuwa una Spiritual husband,na kama hivyo ndivyo swala la kuwa na mwanaume na hatimaye ndoa utavisikia kwa wenzio...
Hata mimi kuna kipindi nilikuwa hiviPole Sana
Jipe muda..
Hiyo hali tunapitiaga wengi kumbe..jipende tu mwemyewe inatosha.
Elewa ushauri sasa!Kuzaa tu bila ndoa hapana nataman kupenda
Ulitokaje tokaje kwenye hiyo hali?Hata mimi kuna kipindi nilikuwa hivi
Ni wale jini mahaba dear..linakufanya uchukie kila kitu kuhusu mwanaumeHiyo spiritual husband inakuwaje
Una jini mkata kamba fanya kumuona dr.shariff majini afanye yake kama walivyomfanyia wajumbeHabari zenu,
Nina matatizo ya kutopenda na hata nikipenda mwanaume napenda kwa siku 2 tu baada ya hapo namwambia tuachane sikupendi na kweli moyoni nahisi hasira, chuki juu yake na kumuona havutii. Nimechoshwa na hii hali kuna mwenye kujua tiba maana natamani kupenda, natamani kutulia na Mwanaume mmoja coz I'm faithful
Niliwahi kuolewa but nimejitoa kwenye ndoa ndani ya muda mfupi sababu ni hizihizi simpendi tena na sina hisia nae. Hii hali siipendi na mimi ndiyo bado nna miaka 24.
View attachment 1536628
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jehovah