Msaada sina kabisa nguvu za kiume

Mkuu Wacha hizo plz millioni moja yote hiyo ya nini wakati tiba zipo za uhakika kabisa kwa gharama kidogo tu.. Wacha tamaa...
Sitoi dawa kwa sababu ya njaa.

Kama Kuna wenye dawa za uhakika kwa bei nafuu, mwelekeze tu mkuu.

Dawa nitakazompa zinanighatimu mno kuzitengeneza. Fikiria tu hivi, dawa hiyo Ina jumla ya dozi 9 tofauti.
 
Je, una ugonjwa wa kisukari au shinikizo la damu?

Je, unakabiliwa na msongo wa mawazo, wasiwasi au unyogovu?

Je, unavuta sigara au unatumia pombe kupita kiasi?

Je, una uzito kupita kiasi au hufanyi mazoezi ya mwili mara kwa mara?

Je, unatumia dawa zozote ambazo zinaweza kuathiri nguvu za kiume?

Je, umewahi kupimwa homoni za kiume na kubainika kuwa una upungufu wa testosterone?
 
Hiyo Hela ni nje ya kumlipa huyo dada?
Nauli Iko humo huko?
 
Sitoi dawa kwa sababu ya njaa.

Kama Kuna wenye dawa za uhakika kwa bei nafuu, mwelekeze tu mkuu.

Dawa nitakazompa zinanighatimu mno kuzitengeneza. Fikiria tu hivi, dawa hiyo Ina jumla ya dozi 9 tofauti.
Ni kweli ila Kwa dawa za kienyeji milioni Moja ni kupumzikiana japo kama kweli una TIBA mshikaji akuone ila usiwe tapeli bro
 
Mamaaaa!
Ni aina gani ya dawa hiyo jamani?
Ni dawa za asili. Si dawa aina moja pekee.

Kwa jumla Kuna dozi Tisa (9). Kuna za kunywa, kuoga,

Lakini akiwa alishawahi kusimamisha na kula mzigo, anaweza ishia dozi mbili tu mashine inarudia nguvu za ujanani hata kama kwa sasa imedhoofika kutokana na mambo kadhaa wa kadha kama uzee.

Kama hajawahi kusimamisha kabisa tokea kuzaliwa, anaweza pia akaishia dozi mbili pekee au akamaliza dozi zote.

Ila kwa uzoefu, wengine huishia dozi Namba mbili. Wakiona wameshaanza kula mzigo fresh wanatimua zao kwenda kuendelea na shughuli za utafutaji.
 
Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Nenda hospital kapime ujue tatizo linaanzia wapi level za hormones, pressure, pima vidonda vya tumbo, sukari(diabetes) angalia kama una tatizo la mngongo kuchemka na miguu kuwaka moto kwanza (tatizo la neurons). Miguu kuwaka moto na mgongo kuchemka unatumia vidonge vya neurobion na pregabalin. Haya ni baadhi ya mambo yanayosababisha ukosefu wa nguvu za kiume. Ukishaona hayo matatizo haya huna una unalo mojawapo tafuta tiba yake iwe ya hospital. Ukishaona umepona yote haya nitafute inbox nikuelekeze dawa mwezi mmoja utapata matokeo ya hatari acha kwenda kwa waganga watakufilisi pesa zako
 
Kwa Nini usiseme pesa italipwa baada ya muhusika kuponda je akikulipa na ASIPO pona
Kwa sababu Nina uhakika atapona.

Kama umesoma vizuri, Kuna sehemu nimesema, nitamruhusu kuondoka kama amenifuata baada ya kujiridhisha asilimia mia kuwa amepona. Kwanza Nina uhakika kwa maelezo yake aliyotoa, dozi Namba moja tu huyo anaanza kula mzigo kama ndo amebalehe Leo.
 
Kazi njema lakini TIBA hauko hivo huwezi aminisha mtu kupona na huja mtibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…