Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
Nimetumia tangu 2015 leo usiku nimeitumia vizuri kabisa nikangia FB,wasap,JF nikaweka off nikalala
Asubuhi niingie mtandaoni kimya kuwasha waiwaki nikatoa betry nikarudisha kimya ikaandika neno docomontt compony name ikaishia hapo hapo nikatoa tena nakurudisha betry the same story, nika disconnect betry masaa 9 nikarudisha hakuna mpya
Nini tatizo inamambo yangu mengi sana.
Msaada wadau