p3 ipo poa sana nashusha movie nane kwa usiku mmoja toka torrent alafu nahamishia kwenye pc raha mustarehe sina haja ya kudownload kupitia pc..!!! p3 ni phone nzuri tu ina applictan ninazohitaji na zingin na download..very nice phone..

kaka zina 700mb,705mb,900mb mpka 1gb kaka kama ukiwa ni mtu wa kidownload utagundua movie zenye file kubwa kama 1gb zina speed ndani ya saa mmoja au mbili mzigo unaisha..kweli nakwambia kaka leo nimeshusha movie nne
Check settings za phone yako coz internal memory ni ndogo so unachodownload knakwenda kwenye phon/internal memory badala ya sd!!press menu then mobile apps utaona internal memory total ni ngap na free zmebak ngap then unachodownload lzm kiwe sawa au chn ya space iliyobak.