Msaada:simu yangu inashindwa kudownload game ya REAL FOOTBALL 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:simu yangu inashindwa kudownload game ya REAL FOOTBALL 2011

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KWETU PAZURI, Mar 12, 2012.

 1. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau, me natumia simu ya Nokia 2730 classic, napenda sana game ya REAL FOOTBALL, mwaka 201
  0 nilidownload hii game version ya 2009 ikakubali na nikawa nacheza kama kawaida, mwaka 2010 huo huo nikadownload version ya 2010 ikakubali,.sasa nikitaka kudownload hii game version ya 2011 inadownload inafika sehem inasema "file too large to be saved" wkt kabla sijadownload inaonesha size ni ya kawaida tu, naombeni msaada
  nikadownload hii game version ya 2010
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,814
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  click link hio apo chini kudownload hilo game kwa simu yako

  real football 2011

  Kwa faida tu lipo pia real football 2012 link yake nayo hio apo chini

  real football 2012

  Source ni website ya kirusi bonyeza [Скачать] kudownload
   
 3. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,230
  Likes Received: 13,688
  Trophy Points: 280
  Real Football 2012 ni zaidi ya Fifa na Pes,wapo juu sanaaaa,au nasema uongo Mkuu?
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,814
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Yah ni kweli mkuu
   
Loading...