Msaada: Simu inajiwasha data hata nikiizima

wakuwin

Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
12
Reaction score
1
Habari wana jf wenzangu! Naombeni msaada ninatumia cm aina ya lg lakini nashangaa tangia Jana nikizima data inajiwasha yenyewe pamoja na Wi-Fi zinawaka kwa pamoja alafu Mara kuna matangazo ya apps yanajitokeza kwa wingi sijui tatizo nini, maomba mwenye ujuzi na mambo ya cm anisaidie
 
zima simu, toa line.
rudisha line, washa tena..

isipo rekebika fanya factory hard reset
 
zima simu, toa line.
rudisha line, washa tena..

isipo rekebika fanya factory hard reset

Mkuu natatizo kama hilo nmereset lkn bado na inastak mara kwa mara na kuchemka sana naomba msaada wako
 
aina gani hiyo..is it tecno?
ikiwa inastack sana we zima tu na uwashe tena hakuna suluhisho zaidi..na ikichemka sana fanya hivyo hivyo.
zisipite siki tatu bila kuizima angalau mara moja..usiwashe data ikiwa unacharge.
 
Samsung s3 mini mkuu
 
Habari wana jf wenzangu! Naombeni msaada ninatumia cm aina ya lg lakini nashangaa tangia Jana nikizima data inajiwasha yenyewe pamoja na Wi-Fi zinawaka kwa pamoja alafu Mara kuna matangazo ya apps yanajitokeza kwa wingi sijui tatizo nini, maomba mwenye ujuzi na mambo ya cm anisaidie

ulishawahi kutumia wife
 
root kwanza simu yako.kisha utoe apps zote mbazo unahisi hazitakiwi kuwepo...kuhusu kuchemka kama kutaendelea badala ya kutoa hizo apps unaweza flash kernel nyingine ambazo zitasolve hilo tatizo.
 
Mkubwa nielekeze jinsi ya kuroot
 
Flash tu hiyo cm.. download file, download odin kisha i flash kesi imeisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom