Msaada: Sijalipwa mshahara tangu mwaka 2017 hadi sasa

Msaada: Sijalipwa mshahara tangu mwaka 2017 hadi sasa

I wrote my thread last week that said,I didn't get my salary since twenty,seventeen,please!! For Anybody who knows someone who works in that office so as well as she/he can help me on this...Thanks.
How much is your salary and what's the cut you planned, lets make a deal.
 
Kwa jinsi ulivyo andika hapo juu sidhani kama umeajiriwa.
 
Habari za jioni,

Jamani mimi nina shida na kiongozi yeyote kwenye sekta ya afya ili wanitatulie tatizo langu la kukosa mshahara tangu mwaka 2017 hadi leo hii 2023.

Nitatoa maelezo kamili kama nitatafutwa na wahusika wa sekta hii.

Asanteni sana.
Pole
 
Back
Top Bottom