Msaada: Sijalipwa mshahara tangu mwaka 2017 hadi sasa

Msaada: Sijalipwa mshahara tangu mwaka 2017 hadi sasa

Duuh nilidhani nimesikia kila kitu, anyway at this point nothing surprises me anymore, maana hii nchi mengi yashatushangaza mpaka tushakuwa masugu
 
Duuh nilidhani nimesikia kila kitu, anyway at this point nothing surprises me anymore, maana hii nchi mengi yashatushangaza mpaka tushakuwa masugu
Nakuelewa mkuu
 
Una kichwa kizito Sana.

Huku ni privacy eleza shida usaidiwe
Sina cha kukiongea hapa hii ni sawa na kuniambia nivue nguo mbele za watu wakati huo Nina akili timamu sio kichaa.na mnaosema niseme sio ajabu mkawa sio msaada pia.kama kutakuwa na muhusika atani DM mimi nitamwelekeza shida yangu lakini sio kunilazimisha niseme!!! niseme!!! Nini jamani na wakati nimeshajieleza vya kutosha.Asanteh
 
I wrote my thread last week that said,I didn't get my salary since twenty,seventeen,please!! For Anybody who knows someone who works in that office so as well as she/he can help me on this...Thanks.
 
I wrote my thread last week that said,I didn't get my salary since twenty,twenty seven,please!! For Anybody who knows someone in that office so as well as she/he can help me on this...Tha

I wrote my thread last week that said,I didn't get my salary since twenty,twenty seven,please!! For Anybody who knows someone in that office so as well as she/he can help me on this...Thanks.
Mhhh ama kweli Tanganyika kuna mambo!! Hujalipwa mshahara tokea 2027??? Nahisi uko kidato cha 6 na huko wanafunzi hawalipwi mshahara.
Pole sana
 
Kuliko kulumbana na hao watu, bora utafute kazi nyingine; kama hulipwi mshahara maana yake huduma yako haitakiwi.​
 
Hata Feza tulikua tunafundishwa grammar ya ukweli na walimu wa Kituruki na Madam wa Kizambia![emoji38]
Iv mnazani kupangilia grammar mchezo ha ha ha lakini mmenielewa jamani nilitaka tuchek kama iv kidogo.....
 
Back
Top Bottom