hjakalljcjxnxlhzkzmxjkxnx
Senior Member
- Jan 17, 2020
- 123
- 277
Labda tufanye hii story ya malipo siyo yako
Sasa kamwambie uyo mhusika kuna kitu atakuwa anakificha kukwambia ukweli
Afike ofisi za serikali kwa msaada zaidi
Yani muajiri akusaidie malipo ya ziada kwa miaka mitano alafu hakuna shida yoyote na vyeti vipo clear wala havina tatizo lolote.