Msaada: Sijalipwa mshahara tangu mwaka 2017 hadi sasa

Ungeelezea vizuri unatataizo Gani ili mwenye kumudu kukusaidia akusaidie, ukisema hulipwi tokea 2017 na hauna changamoto yoyote na umetulia tu sio kweli.
Nilifatilia niliambiwa mshahara wako umesimama kwa sababu ya jina lako either litatumika Mara mbili yaani mtu anatumia cheti chako au ilo jina lako mpo wawili majina yamefanana shida ndo hii tu hamna nyingine
 
Nikitafutwa na wahusika nazani tutaelewana vizuri mana hapa kuongea ongea inakuwa sio sahihi sana.
 
1690983218231.png
 
Attachments

  • 1690983169065.png
    1690983169065.png
    105.3 KB · Views: 31
Weka wazi na rushwa unatoa kiasi gani?
Sasa Mtu kakuambia hana mshahara tangu 2017 hiyo Rushwa unayotaka ataitoa wapi!? Kama una uwezo wa kumsaidia msaidie alafu akifanikiwa Jambo lake lazima atakupa Shukhurani bila shaka!!
 
Nilifatilia niliambiwa mshahara wako umesimama kwa sababu ya jina lako either litatumika Mara mbili yaani mtu anatumia cheti chako au ilo jina lako mpo wawili majina yamefanana shida ndo hii tu hamna nyingine
Hapo si ilitakiwa uende Baraza la Mitihani wathibitishe vyeti vyako na hiyo barua ndiyo itumike wakati wa kurejeshwa kwenye malipo....! Au Mimi ndo sielewi .....!
 
Bila pesa sidhani kama wahusika watajigusa ,ngoja tuone.
Kwa hiyo siku hizi huduma huko serekalini mnatuuzia!? Basi toweni hayo mabango yenu ya "usikubali kutoa Rushwa, huduma zetu ni bure na ni haki yako"!!
 
Sasa Mtu kakuambia hana mshahara tangu 2017 hiyo Rushwa unayotaka ataitoa wapi!? Kama una uwezo wa kumsaidia msaidie alafu akifanikiwa Jambo lake lazima atakupa Shukhurani bila shaka!!
Kabsa mkuu nmemchallenge tu wala sina namna naweza msaidia.
 
Nilifatilia niliambiwa mshahara wako umesimama kwa sababu ya jina lako either litatumika Mara mbili yaani mtu anatumia cheti chako au ilo jina lako mpo wawili majina yamefanana shida ndo hii tu hamna nyingine
Majina kufanana siyo shida sana, maana kuna watu kibao tu wanaitwa Alli Hasan au kina Mohammed Abdalah, je no ya usajili wa ajira pia zimefanana!!??
 
Back
Top Bottom