Msaada: Siipati Twitter App store

Msaada: Siipati Twitter App store

victory02

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
1,159
Reaction score
1,588
Mbona App ya Twitter nimeitafuta sana App Store siipati wandugu? Kuna mtu anaweza nisaidia? Nilikuwa nayo mwaka jana ila ilipoanza kugoma goma nikaifuta,sasa nataka kuirudisha kila nikiitafuta siioni App Store.

Natumia iPhone,msaada tafadhali?
 
Iphone imekaa kishua ingekua android device chap una zama google una download as apk
 
Ingekua ni kweny simu ningekuelewa labda ume unistall au ume hide lakini app haionekani App Store😳😳😳
 
Sijaelewa hapo mkuu,tangu niifute ni kama miezi minne hivi imepita,na simu huwa nazima na kuwasha mara kibao ila sijawahi iona
nenda setting,pekenyua humo utakuta system setting,bofya,halafu utakuta restart bofya.ikimaliza ku restart.app ita appear
 
Achana nayo kwanza siku hizi imejaa umbeya
 
IMG_3194.png

Mbona ipo
 
Back
Top Bottom