Nahitaji Msaada kwenye I Phone, Instagram na twitter hazionekani kwenye App store

Premij canoon

JF-Expert Member
May 27, 2018
1,115
2,490
Salaam wana JF...

Moja kwa moja nijikie kwenye jambo lililonileta hapa Jukwaani.

Iphone yangu inatatizo gani?

Mara ya kwanza nilitaka kudownload twitter baada ya kuifuta kwa bajati mbaya, lakini kule app store sikuipata ile application ya twitter, yaani nilikua siioni kabisa na hata niki-isearch haitokei, zinatokea apps zingine tu... Nikapuuza nikaachana nayo na ni muda mrefu kidogo umepita.

Leo pia kwa bahati mbaya nimeifuta instagram, nilipoingia app store kuidownload nayo siioni, yaani uki search zinakuja apps zingine tu lakini instagram haiji.

Shida itakua nini wakuu? Maana mwanzo haikua hivi hii simu.

Natanguliza shukraan
 
Sina uhakika vizuri ila utakuwa hufuti hizo app ila unazi-force to disable, nenda setting yako ya simu alafu fungua kwenye apps usipoziona na kwenyewe basi wajuzi wa mambo watakuja, ila ukizikuta zi-enable zitakuja zenyewe
 
sina uhakika vizr ila utakuwa hufuti hizo app ila unazi-force to disable. nenda setting yako ya simu alafu fungua kwenye apps usipoziona nakwenyewe bc wajuzi wa mambo watakuja, ila ukizikuta zi-enable zitakuja zenyewe
Yaani mkuu nimezifuta. Alafu tatizo hili limeanza muda kidogo ila nimeligundua leo baada ya kutaka kudownload insta, Mwanzoni hili tatizo halikuwahi kuwepo.
 
Unaweza pia kufanya mwenyewe, Unga kifurushi cha usiku, ingia setting cheki update.

Naona itaka WIFI, kesho nitafanya mwenyewe...
IMG_0673.png
 
Back
Top Bottom