Msaada: Series ya 24

decomm

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
726
Reaction score
666
Habari wana jamvi!

Nahitaji series za 24. Kama yupo mdau mwenye hiyo 24 kwenye Hdd, high quality anijulishe, nitachangia kidogo.

Kuanzia Season 1 hadi hii iliyoisha juzi juzi Uingereza.

Nipo Dar.
 
Habari wana jamvi!

Nahitaji series za 24. Kama yupo mdau mwenye hiyo 24 kwenye Hdd, high quality anijulishe, nitachangia kidogo.

Kuanzia Season 1 hadi hii iliyoisha juzi juzi Uingereza.

Nipo Dar.
Mimi ninayo lakini sipo Dar.
Nashindwa nikusaidiaje.
 
Upo mkoa gani mkuu, mie ni mtu wa kuzurura sana, huenda ikatokea siku nikapita uliopo
 
Mi ninayo yote. na nyingine kibao tu...niko dar...utanipa shs ngapi kwa 24?
 
Wadau, bado sijapata hiyo 24, mwenye nayo tafadhali anijulishe, nitachangia usumbufu kidogo. Nipo Dar kwa sasa.

Iwe high definition na kwenye hdd. Nita copy tu. Series kuanzia ile ya mwanzo hadi hii iliyoisha juzi juzi Uingereza.
 
NASHUKURU, Nimeshapata.
 

ungekuwa moshi ningekupa
 
Ninayo From Season 1 to 9 + Behind the Scene... Total ni 74.6GB. Sipo Dar...(afrosense255@gmail.com)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…