ulihakikishaje ni genuine, kwa maana clone phones ziko hivyohivyoni genuine mkuu
Hapana sio mtaalamuuna uelewa walau kidogo wa software za simu mkuu??
mkuu hapo kilichobakia labda TCRA wameifungia sababu kuna simu genuine ambazo imei zake zimekuwa blacklisted, ziliibiwa huko zamani au zina makosa mengine
mkuu hapo kilichobakia labda TCRA wameifungia sababu kuna simu genuine ambazo imei zake zimekuwa blacklisted, ziliibiwa huko zamani au zina makosa mengine
official bado ila mtaani naanza kuziona chache,Mkuu niaje?
Sorry nakutoa nje ya mada, hivi Nokia 6 zimefika Bongo?
official bado ila mtaani naanza kuziona chache,
inawezeka ina dublicate imei baada ya kuandika certni genuine mkuu
ni pmunaweza kufafanua zaidi mkuu, na kama kuna njia mbadala ya kusolve hii issue