Msaada: Samsung galaxy note 1 haisomi IMEI wala NETWORK

kuflash na kurepair hakuna kosa.. koss ni change of imei.. hyo cmu haisomi imei means ina UNKNOWN BASEBAND kwahyo hapo kitakachofanyiks ni kurejeshs baseband then unarepair imei to original imei ambako hakuna kosa lolote.. weka dau lako hapa na mahali ulipo ili tujue tunakusaidiaje
 
Kule kwetu dau ni mtumbwi.
 
Back
Top Bottom