Msaada Samsung Galaxj J5 Prime

Msaada Samsung Galaxj J5 Prime

Gushleviv

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
3,455
Reaction score
5,326
Simu yangu Samsung galaxy J 5 prime browser inajifungua yenyewe na kufunguka website za ajabuajabu..tatizo ni nini? Je ni virus? Maana hii simu ina function ya device maintenance nimejaribu lakini wapii...CC Chief-Mkwawa
 
jaribu kufanya hivi.

1. toa apps zote ulizoziweka toka hilo tatizo lianze
2. nenda setting kisha security kisha device administrator halafu angalia nini kipo hapo, by default kunatakiwa kuwe na device manager tu, kama kuna kitu chengine kimeongezeka na hujakiweka wewe kitoe.
3. nenda setting kisha apps/application halafu toa apps usizozijua ambazo zime downlodiwa.
 
Asante sana..nimefanya ulivoelekeza na tatizo limekwisha. Blessings!
 
Back
Top Bottom