Msaada: Run DLL error msg

katutumla

Member
May 27, 2010
42
11
Wataalam,
Laptop yangu ni HP Envy dv4, CORE i5. Sasa hivi kila ikiboot inatoa msg hii (see attachment). Please naomba msaada wa jinsi ya kuiondoa.
 
Attachments

  • Run DLL.PNG
    Run DLL.PNG
    9.4 KB · Views: 141
Mh! Kuna application inayohitaji ku load hilo faili na halipo.
Ila file kukaa kwenye appdata inanifanya nihisi ni kirusi na AV imelifuta.
Ila google uone hiyo ni library ya nini.
Alternatively angalia startup apps na ujaribu kuchuja ni ipi inajaribu kuload
hiyo library hapo utajua kama kirusi au la!
 
attachment.php

.
Siku nyingine usiludie kutumia AV ambazo huna uhakika nazo na ziko out of date.....
.
Matokeo yake ndo kama hayo
hicho kilikuwa ki malware kime be deleted na Antivirus wako lakini antivirus akashindwa kufuta keys kwenye registry....
.
Yaani Av wako database iko very poor hata uki solve hili tatizo umu update Av wako
.
Unaweza tumia malwarebytes alafu ukafanya full scan
ila ikishindwa itabidi ukatafute logs zilizo kwenye registry lol
.
Pole sana
 
Natumia AVG Internet Security 2014 na muda wote ipo up to date. Ilikuwa hivi: Nilikuwa natumia Norton Internet Security 2013 iliyokuja na kompyuta, baada ya kuisha muda wake (siku 180) nikaitoa na kuweka hiyo AVG IS 2014. Somewhere wakati naendelea kuitumia na ikiwa inanipa msg kuwa niko 'fully protected' ndipo nikaanza kuona msg hiyo ya Run DLL. Niki click OK laptop inaboot kawaida hadi next boot. Inaniboa tu kuwepo kila mara ninapowasha kompyuta. Na pia sijui athari yake kwenye kompyuta.
 
Mh! Kuna application inayohitaji ku load hilo faili na halipo.
Ila file kukaa kwenye appdata inanifanya nihisi ni kirusi na AV imelifuta.
Ila google uone hiyo ni library ya nini.
Alternatively angalia startup apps na ujaribu kuchuja ni ipi inajaribu kuload
hiyo library hapo utajua kama kirusi au la!

Asante, ngoja nijaribu kufuatilia.
 
Natumia AVG Internet Security 2014 na muda wote ipo up to date. Ilikuwa hivi: Nilikuwa natumia Norton Internet Security 2013 iliyokuja na kompyuta, baada ya kuisha muda wake (siku 180) nikaitoa na kuweka hiyo AVG IS 2014. Somewhere wakati naendelea kuitumia na ikiwa inanipa msg kuwa niko 'fully protected' ndipo nikaanza kuona msg hiyo ya Run DLL. Niki click OK laptop inaboot kawaida hadi next boot. Inaniboa tu kuwepo kila mara ninapowasha kompyuta. Na pia sijui athari yake kwenye kompyuta.

.
Afu AVG Sio best av sanaa mana wengi walio pata matatizo hayo ni watumiaji wa AVG
.
ila siku reccomend AV ya kutumia lakin Malwarebytes ni nzuri sana
mfano mi natumia
.
Avast + malwarebytes + hitman pro
.
Lakin jaribu Hata iyo CCleaner aliyo ku reccomend kiongozi Stefano Mtangoo
.
Ila create system restore kwanza
 
Last edited by a moderator:

Nimejaribu kwa Malwarebytes, Hitman Pro na CC Cleaner lakini sijafanikiwa. Nimeamua kuachana nayo hadi itakaponilazimu ku format HHD.
 
Siku elekeza kutumia hitman pro
hiyo ni protection nnayoitumia ku protect my data encryiption kutoka online viruses....
.
BTW
fanya tu hivyo mana ningekuelekeza njia ya REGISTRY ila nimeshindwa mana naona haupo aware sana ATM
.
regards
C++
 
Mkuu nielekeze tu. Pia inaweza kuwa na faida kwa wengine wanaopitia jukwaa hili. Kimsingi niliamua kuachana nayo kwa kuwa sikutaka ku cause more harm to my laptop. Lakini kwa kuwa mtaalam upo, nipe steps na nitazifuata kwa umakini.
 
mkuu, hebu jaribu kusaka torrent ya ki software kinaitwa RunDll error fixer, fanya kutorrent upate full version half ukishafanya scan kama haijadetect basi manually kigugo hiko kifaili (with extension .dll)
 
Kwa issue za DLL na Startup huwa natumia kitu inaitwa Hijackthis haijawahi kunianguasha.
 
Back
Top Bottom