msaada: roaming internate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada: roaming internate

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by othorong'ong'o, Jul 25, 2012.

 1. o

  othorong'ong'o Senior Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  nilikua natumia modem inayochukua line zote nikiwa Dodoma mjini, ila nimekuja Kondoa kikazi lakini internate ya airtel imenigomea kwani modem inaonyesha taa nyekundu, nilipobadili na kuweka line ya voda ikawa inanipa option kwamba niunganishe roaming internate, nilipoungaisha ikawa inafanya kazi lakini inaniambia kuna additional charges. je nifanye je make nimejaribu kutafuta kwenye internate kuhusu roaming inaonekana kama niko nje ya nchi. naombeni msaada
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  roaming sio lazima uwe nje ya nchi hata mtandao mmoja kutumia network ya mwenzie ni roaming. mfano hapo hapo dodoma zantel wanatumia network ya airtel na voda ukikonekt inaandika roaming. sidhani kama wanatoza hizo additional charges
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  km ni modem ya Zain ww bandika tu hapohapo Kondoa ndo mtandao wao, waenyeji watakwambia labda km ni hizi modem za sasa za Airtel ndo sijui
  na kuhusu Roaming naona umeshaelezwa hapo juu kuwa hazichajiwi
   
 4. o

  othorong'ong'o Senior Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  ahsanteni kwa majibu yenu
   
Loading...