Si aghalabu kubadili IMEI namba maana bado sana watu wa huku kufanya michezo hiyo kikubwa anatoa line na kuflash basi.Aingie Google dashboard atapata hiyo IMEI number ya simu na mara ya mwisho hiyo simu ilionekana sehemu gani.
Endapo imeibiwa na mjanja au akauziwa mjanja, akibadili IMEI number ndo imetoka hiyo.
Naona bado upo usingizini mkuu, IMEI number zinabadilishwa saaana yani kkoo.Si aghalabu kubadili IMEI namba maana bado sana watu wa huku kufanya michezo hiyo kikubwa anatoa line na kuflash basi.
mkuu unafanyaje kujua simu ilikoonekania mara ya mwisho kwa kutumia googleAingie Google dashboard atapata hiyo IMEI number ya simu na mara ya mwisho hiyo simu ilionekana sehemu gani.
Endapo imeibiwa na mjanja au akauziwa mjanja, akibadili IMEI number ndo imetoka hiyo.
Kwa hapa Zanzibar bado hawajawa na mawazo hayo.
Hilo wazo hata mimi nilikua nalo ila nitofauti kidogo na wazo lako. Langu ni hili nimepanga nimchukue mtu kwenye gari yangu halafu nimuache sehemu atangulie eneo la tukio. Mimi nikifika niondoke yeye akiwa anaitazama kwa mbali.Mpe pole sana. Siku nyingine tumia njia yangu ili kumjua mwizi wa vifaa vya magari pindi unapopaki sehemu hizo. Ukishashuka kwenye gari yako, jifanye unakwenda moja moja sokoni, halafu piga kona jifiche ukiangalia gari yako, haipiti dk 2 tayari kuna mtu anajishughulisha na gari yako. Njia hii nilimpata mwizi wangu akiwa na kifuniko cha mafuta kaweka mfukoni mwake kwa asilimia 100% nilimpa kibao cha nguvu na akalinda gari mpaka nilipomaliza shopping. Nilipomaliza shopping nikampa buku kwa kulinda gari.
Tafuta wataalam wa mambo hayo mwelekezane off platform vinginevyo badala ya kutatua tatizo mtajikuta mnamwongezea maarifa mwizi. Siku njema.mkuu unafanyaje kujua simu ilikoonekania mara ya mwisho kwa kutumia google
tafadhali nipe ujuzi, nimeishaibiwa sana
PointMNAPO PAKI MAGARI SEHEMU NGENI
MKISHUKA WASALIMIE JAMAA WALIYOKO
KARIBU, WAAMBIE UNAPAKI KWA MUDA UTARUDI,ONYESHA HESHIMA FULANI
UTALINDIWA KWA STYLE
SASA WE UNAPAKI GARI KIBUBUBUBU
ova
Kwa hiyo unajisifia kwa kujichukulia sheria mkononi mwako?why hukumpeleka police or call them?mnatuharibia sana nchi yetu mtu kama wewe hizi kangaroo courts hatuzihitaji.Mpe pole sana. Siku nyingine tumia njia yangu ili kumjua mwizi wa vifaa vya magari pindi unapopaki sehemu hizo. Ukishashuka kwenye gari yako, jifanye unakwenda moja moja sokoni, halafu piga kona jifiche ukiangalia gari yako, haipiti dk 2 tayari kuna mtu anajishughulisha na gari yako. Njia hii nilimpata mwizi wangu akiwa na kifuniko cha mafuta kaweka mfukoni mwake kwa asilimia 100% nilimpa kibao cha nguvu na akalinda gari mpaka nilipomaliza shopping. Nilipomaliza shopping nikampa buku kwa kulinda gari.
Njoo inbox mkuuMie nahitaji mtu nimpatie IMEI yangu anitafutie simu yangu, nikiipata kwa kweli nitampatia elfu 50,000/- cash. Niko Morogoro