Malingumu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 616
- 429
Habarini wadau..
kuna mahala nilituma maombi ya kazi sasa wakanijibu kwa kunitumia email yenye maelekezo,,kuna fomu ya kujaza na pia natakiwa kufanya.
Psychometric Assesment Test halafu niwatumie ripoti wametoa baadhi ya link ambazo ni international maana wanataka ya hivyo,Sasa nimejaribu kuingia kwenye link moja wapo ikawa ina maelekezo ya jinsi ya kufanya pamoja na namna ya kulipia kwa sababu mwisho wa zoezi watatoa certificate ambayo natakiwa kutuma kule nilipotuma maombi, swali langu
Endapo kuna mtu anafahamu kuhusu hii angalau anishauri,je ni real?(maana ni mpya kwangu) huwa inafanyika? na je namna gani nzuri ya kufanya, maana na jamaa pia wanataka dola kadhaa ili nifanye hiyo test please!! any idea?.