felijose
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 201
- 59
Hapo kwenye red uko so wrong.. C/C++ ni very widely used, hasa C++ inarun almost backends zote za big tech companies, Google Search, Facebook, Youtube, Maps za Google, Microsoft, Browsers kama Chrome, Firefox, Opera, Computer Vision apps bila kusahau game engines popular zote yaani nikitaja performance critical apps hapa zinazorun on C++ list itajaza thread. In short tech companies nyingi wakiwa na kazi yoyote ambayo ni performance critical wanapenda kukimbilia C++ simply because nothing else beats it kwenye hiyo area.
Yah.. c na c++ ni core.. ila kwa sasa java inafanya kila kitu