Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,846
- 3,373
How tf do I know??
Shukran sana Kaka, umenipa mwanga hapa.Sema pia nimesoma Mahala printer hizo za wino wa chupa zina tabia ya kuganda usipotumia, atleast kwa wiki uwe umeprint, kama Una print mara 10 kila wiki haina neno, otherwise kama unapitisha wiki hujaprint unashauriwa hizi za kawaida inkjet
Shukrani sana Ndugu, ila nilipenda msaada uwekwe hapa na kwa faida ya wengine pia.Karibu pm mkuu
Kina nani hao wengine mkuu...Shukrani sana Ndugu, ila nilipenda msaada uwekwe hapa na kwa faida ya wengine pia.
Biashara njema Mkuu ndio maana sikutaka kutia mguu huko make kama ni msaada wa kawiada huwa ni hapa hapa kama wadau wengine walivyofanya., Chief-Mkwawa na Aleyn wameshanisaidia bure kabisa.Kina nani hao wengine mkuu...
Mi huwa sitemi madini humu ndani na ukitaka maelezo zaidi huwa naelekeza kwa pesa nipo very strictly mkuu..
Ahsante
Shukran sana mkuu, naomba kuuliza pia kama utafahamu na bei za rangi (ink).Chukua epson l3250 utaifurahia.
Nina uzoefu na hizi printers brands na model kuanzia zote.Biashara njema Mkuu, Chief-Mkwawa na Aleyn wameshanisaidia bure kabisa.
Wino ni elfu tano hadi elfu saba, kwa kazi zako utautumia huo wino hadi utatamani kuisha urefill tena.Shukran sana mkuu, naomba kuuliza pia kama utafahamu na bei za rangi (ink).
Nashukuru sana Kaka, Umemaliza.Wino ni elfu tano hadi elfu saba, kwa kazi zako utautumia huo wino hadi utatamani kuisha urefill tena.
Nakushauri uchukue Epson L3250 Kwa hiyo bajeti. Ina kitu kidogo cha ziada. Uwezo wa kutoa copy au ku-print document moja kwa moja kutoka kwenye simu yako bila kuwasha kompyuta.Nashukuru sana Kaka, Umemaliza.
Shukrani mkuu, umenisaidia na mimiNina uzoefu na hizi printers brands na model kuanzia zote.
Kwa bajeti na matumizi yako, HUYO JAMAA HAWEZI KUKUSHAURI NJE YA PRINTER ZA INK TANK, ni Epson au Canon tu.
Asikutishe kuhusu ushauri, lazima ataangukia kukushauri hapo. Au yamkini alikuwa anataka akuuzie. Sasa sikiliza mkuu, Epson L3250, L3211 zote hizi kariakoo unazipata kwa 360,000 hadi 400,000.
Punguza manjaa, utapishana na fursa kwa kuendekeza tumbo bila akili 🚮🚮Kina nani hao wengine mkuu...
Mi huwa sitemi madini humu ndani na ukitaka maelezo zaidi huwa naelekeza kwa pesa nipo very strictly mkuu..
Ahsante
Kwa mashine ya uhakika ni epson hasa hizo walizo shauri wajuvi hapo yani L31XX au L32XX, usilogwe ukachukua canon pixma yaani utakimbizana na maintanace cartilage wewe hadi uipack hiyo mashine yako.Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo.
Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo.
Kuna zile naskia unaweza nunua wino ukajaza mwenyewe, nahisi kama ndio zitatufaa zaidi kuliko za kubadili cartilage nzima.
Naombeni m recommend ni brand na midel ipi itatufaa na bei elekezi pia ili kuepuka kupigwa.
Chief-Mkwawa