ThinkPad JF-Expert Member Apr 11, 2008 1,844 232 Jul 3, 2012 #1 Jamani naomba kama kuna mtu anafahamu maana nafanya setting ya outlook so naweza kupata email lkn siwezi kutuma msaada please.
Jamani naomba kama kuna mtu anafahamu maana nafanya setting ya outlook so naweza kupata email lkn siwezi kutuma msaada please.
U Uswe JF-Expert Member Nov 1, 2010 2,204 626 Jul 3, 2012 #2 niskype kuanzia saa mbili hadi saa tano niko hewani jina langu la skypes ni uswege.umoja. inawezekana ni vitu vingi, so tunaweza kusaidiana hatua kwa hatua
niskype kuanzia saa mbili hadi saa tano niko hewani jina langu la skypes ni uswege.umoja. inawezekana ni vitu vingi, so tunaweza kusaidiana hatua kwa hatua
ThinkPad JF-Expert Member Apr 11, 2008 1,844 232 Jul 3, 2012 Thread starter #3 poa poa kaka mkubwa ntashukuru.
ThinkPad JF-Expert Member Apr 11, 2008 1,844 232 Jul 3, 2012 Thread starter #4 nashindwa kukupata kwenye skype sijui id ipo sawa