Msaada: Natafuta Mtu anayefanya kazi Utumishi na Ajira

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
466
538
Humu kuna mtu anafanya kazi utumishi na ajira? Au anayemfahamu mtu anayefanya kazi utumishi na ajira?

Jamani kuna mtu anaweza kunipa msaada wa afisa utumishi yoyote wa Dodoma? Nimechoka nimepiga simu zao tokea asubuhi hazipokelewi. Nyingine napiga hazipatikani, nimeenda ofisi yao ya pale Kivukoni sijapata msaada wowote ule zaidi ya kujibiwa kuwa hawapo wamehamia dodoma na anayehusika kwa hapo kivukoni nae kasafiri yupo mkoani so hakuna huduma.

Nimechoka sana nimepoteza nauli muda na kila kitu simu hawapokei, sms hawajibu, emails hazijibiwi. DM hawajibu, sasa nafanyaje jamani mimi na shida yangu inatakiwa itatuliwe kwa haraka sana

Au kama kuna namba nyingine niwapigie please!
 
Back
Top Bottom