msaada plz: out going mail server ya TTCL

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Jamani naomba kama kuna mtu anafahamu
maana nafanya setting ya outlook so naweza kupata email lkn siwezi kutuma msaada please.
 
niskype kuanzia saa mbili hadi saa tano niko hewani jina langu la skypes ni uswege.umoja.

inawezekana ni vitu vingi, so tunaweza kusaidiana hatua kwa hatua
 
Back
Top Bottom