Msaada plz,namna ya kupata E-mail password

Msaada plz,namna ya kupata E-mail password

M2flan

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Posts
1,379
Reaction score
631
Habar jf members.Nawezaje kupata password za e-mail(gmail) mana najaribu kufungua account yangu inadai password entered ni wrong or your account has changed.But nahuakika na password nnazoingza tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
ingiza tena na sign in, isipotambua tena kliki sehemu ya forgotten your password? chagua sehemu ya kuingiza namba za simu yako na watakutumia kodi number ya kufungulia na kuandika password nyingine.Ni mara tatu tu kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom