Msaada plz juu ya car tracking

Msaada plz juu ya car tracking

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
Kwanza nitangulize shukran zangu kwa wanajamvi wote mnaoendelea ku2elimisha na ku2saidia hapa jamvin.

Mim ni fundi umeme wa magari hivyo nimekuwa nakutana na wa2 wengi sana wanaulizia na kutaka wafungiwe CAR TRACKING.
Mim cjawahi jishughulisha/shughulikia na mfumo huo.Zaidi ya kufunga car alarm bas.

Hivyo nilikuwa naomba kufahamishwa je ninaweza elekezwa wapi shughuli hiyo au kufundishwa au ninaweza pata material au website yoyote ambayo ninaweza soma nikapata japo msingi juu ya vi2 gani na vingapi vinahitajika ktk kufanikisha hilo.
2-jinsi ya kufanya installation ya vifaa hivyo kwenye gari
3-jinsi ya kuoparate system hiyo nikisha ifunga kwenye gari.

4-kama nikifanikiwa hayo hapo juu ni wapi naweza pata vifaa hivyo kwa bei rahisi.

Au kama kuna mtu yeyote hapa jamvin anajihusisha au anaufaham na hili pleas naomba msaada wako hata kwa malipo kama yatahitajika nipo tayari.
 
wapo watoa huduma hiyo kama CAR TRACK,UTRACK,FLEET TRACK nk wasiliana nao.pale namanga mbuyuni ama victoria na mwenge mwisho jirani na Soza Plast/nyuma kwa mwingira-Efatha
 
Mkuu karibu sana mimi nina uza hivyo vifaa na kuvifunga ofisi zetu zipo mbezi beach,tangi bovu.
Kituo cha bus kinaitwa shule.Hapo kituoni kuna jengo linaitwa Stamford hse,tuko gorofani.Karibu sana.
Kampunii inaitwa Digital dar.
 
Mkuu karibu sana mimi nina uza hivyo vifaa na kuvifunga ofisi zetu zipo mbezi beach,tangi bovu.
Kituo cha bus kinaitwa shule.Hapo kituoni kuna jengo linaitwa Stamford hse,tuko gorofani.Karibu sana.
Kampunii inaitwa Digital dar.

hakuna tatizo mkuu ntaku PM labda wew unaweza kunielewa maana kama hao digital dar nishawafuata sana kuna ofis flan wanazo kinondon opposite na mwanamboka petrol station karibu yake wanauza luku na kutoa huduma ya tigo,m-pesa.

Nilisha enda mara 2-3 wakanizingua.
Poa mkuu ngoja naku PM.
 
Pole sana kwa usumbufu uliopata.Kinondoni ni yetu pia.
karibu ofisi ya mbezi tutatatua hilo swala.
 
Back
Top Bottom