sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
tukiwa njiani tunaelekea kusini mwa tanzania maeneno ya moro ndani ya range rover hii mara ikapata pancha tairi ya nyuma (mzinga) na gari ikazima hapo hapo....tumefix tairi bau gari haiwaki kabisa....ingine imelock! nimejaribu kucheck sana online juu ya hili sanasana wanadai option ni lazima nipate Emergency Key Access (EKA) code ambayo ndo nitaweza ku unlock hii gari...jinsi yenyewe ya kuipata hiyo code ni shughuli na mda ndo kama hivi, pliz kwa wataalam wa mambo ya magari haya antupe msaada maana tumekwama....afu tatizo lingine hii gari ina accelerate taratibu sana inapoanza kuondoka hata ukanyage mafuta vipi...sijui tatizo ni nini!??