Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,102
Last edited by a moderator:
mweee!
unanikumbusha mama watoto wangu alikuwa anasema hivyohivyo.na binti mwenyewe ana miaka 20 sasa hivi...........
namaanisha huyo mtoto!!
nimekuelewa,ila wewe sio mama watoto wangu....
ok,alizaliwa 17/2 1993............
Kiusahihi mbachao ni muunganiko wa "mbacha" - neno linalomaanisha mkeka/jamvi kuukuu/ kongwe na "o" kiwakilishi cha umiliki - kwa hapa ni "wako"
Usiwache mbachao kwa msala upotao ina maana ya usiwache mbacha wako kwa msala (kipande cha zulia au jamvi jipya) upitao (wa mtu mwengine)
Yaani usidharau chako hata kama si kizuri sana kwa kutegemea kitu cha mwengine
Kiwakilishi "o" hapo kimetumika sawa na viwakilishi "lo" kwenye "jambolo" au "yo" kwenye "mamboyo" au "o" kwenye "mkekao"
Vyote vinawakilisha umiliki
Cc:
shkamoo uncle mentor!! Aunt hajambo?
marahabaa...aunt bado kalala. Akiamka ntakuambia yuaendeleaje.
Halafuuu wenzako wa 1993 si wako jkt sasa hivi??!
mie nilipata 3uncle, nasubiria awamu nyingine!
mie nilipata 3uncle, nasubiria awamu nyingine!
umepangiwa wapi uncle?
kuuumbe!! Siendi shosti, mie naviogopaga kweli vitu hivyo!
usiviogope, komaa navyo.
Najua mwanzo utapata maumivu lakini ukizoea...